Uchaguzi 2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

Kamanda uchwara umeulizwa mtamsimamisha nani? Hahaaha


Sent from my iPhone using Tapatalk

Urais sio kazi professional kama udaktari, uhasibu nk useme lazima umpate mtu wa professional hiyo. Hiyo kazi inataka mtu yoyote mwenye akili timamu. Ndio maana wala sio nafasi ya kujisumbua kwani haina course ambayo unapaswa kupitia. Ingekuwa ni kazi ya kusome, leo hii cdm ingekuwa imepeleka watu course.
 
Pale yanga inapowaambia Azama sports wasishiriki ligi eti kisa wameshaongea na refarii ili awabebe, hivyo hawatabeba kombe!? Ujinga huwa haujifichi.
Acha kuhisi kwa hisia. Wananchi wana imaani na Chama tawala namna kinavyotekeleza ilani yake.
 
Mimi nimekuelewa kama ulikuwa unatoa tu hotuba humu na wala sio mjadala kwa sababu kuanzia introduction, body mpaka conclusion nia yako tumeilewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…