Uchaguzi 2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

Uchaguzi 2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

Uongo uliopitiliza ,yaani kama ni kuforce basi ni balaa.

Sijasema ili ukubali maana hata ukikubali utakuwa unainyima nafsi raha. Hivyo nilivyosema sina shaka navyo
Mnakuwa na ubishi mwingi tu, hasa pale unaposhikwa penyewe unabaki kujidefence, jioni njema mkuu.

Sina chochote cha kujilinda kwako. Ni kipi hasa cha kunifanya nijidefence? Hapa tunaweka tu majibu ukutani.
 
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.

Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani atapeperusha bendera ya Chama chake yaani CCM

Mwenyekiti wa Tlp yeye pamoja na kuwa sio mwana CCM amekiri atamuunga mkono John Pombe Magufuli hii ni kwa sababu amefanya kazi kubwa ya kudhibiti rushwa na ubadhirifu,kujenga miundo mbinu,kujenga miradi kama Sgr,JNHHP n.k na kwa mantiki hii ameamua kumuunga mkono.

Nakuja kwa hichi chama ambacho kuanzia wafuasi wake na viongozi wake hawana uzalendo. Maana wao kila siku ni kuitakia mabaya nchi yao ati kisa tu CCM ndio imekamata dola.

Sasa wamebaki kuwa watu wa vurugu na matusi mitandaoni na wameonyesha kukata tamaa ya kisiasa. Na swali linakuja watamsimamisha nani ili apambane na JPM? Ni Mh Mbowe? Au Mnyika? au Halima Mdee? Au Esther Matiko?
Ngoja tusubiri maana siku hazigandi.

Au ndio hawataweka mgombea kabisa? Maana naona kama hamna wa kupambana na JPM!
Wanasibiri wa kukatwa...
 
Back
Top Bottom