Uchaguzi 2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

Unafikiri hili janga halitawagusa wana Cdm? Au umesahau kuwa mtoto wa mwenyekiti wenu lilimkumba? Tumia busara ndugu.
Ndugu, kiswahili hujui kingereza hujui kama vile ambavyo JIWE hajui na prof wa "i will put you inside antili yu finishi zisi nanii".

Hata kama kahamia CHADEMA na huko alipotoka damu za watu zipo mikononi mwake, lazma atubu, CORONA NI UBATIZO WA MTO, MUNGU ameachili kwa maksudi
 
Hapo umeandika nini?
 
Wafuasi wa chama wenyewe hawajui nani watamsimamisha.

Ila hapa umechemka

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nakuja kwa hichi chama ambacho kuanzia wafuasi wake na viongozi wake hawna uzalendo. Maana wao kila siku ni kuitakia mabaya nchi yao ati kisa tu CCM ndio imekata dola.

Typing error mkuu nafikiri ujumbe umeupata.
 
Ni Tume huru kwanza....hayo mengine yatafuata..!!
 
Mwamba atatuvusha
 
Au neno CCM kukamata dola limekuchanganya? Subiri Chadema washinde uchaguzi October ili kiwe chama chenye dola.
 
Acha kuhisi kwa hisia. Wananchi wana imaani na Chama tawala namna kinavyotekeleza ilani yake.

Ni kweli kuna wananchi wana imani na chama tawala, ila hilo haliondoi ukweli kuwa pia wako wengi hawana imani wala hawakitaki chama tawala. Ndio maana tunataka tume huru ya uchaguzi, ili yule anayekubalika na wengi atangazwe kihalali.
 
CHADEMA- SI IMEKUFA, itakuwaje na mgombea?
JIWE alisema atahakikisha imekufa na bado anaendelea ama kuiua
 
Ni kweli kuna wananchi wana imani na chama tawala, ila hilo haliondoi ukweli kuwa pia wako wengi hawana imani wala hawakitaki chama tawala. Ndio maana tunataka tume huru ya uchaguzi, ili yule anayekubalika na wengi atangazwe kihalali.
Nafikiri ungefuatilia ile hukumu ya Mahakama ya rufaa juu hili suala la tume huru wala usingerudia mara kwa mara kulizunguzia. Sababu kile ndio chombo cha juu na cha mwisho kutafasiri sheria. Hukumun ilishatoka na iliwekwa wazi kuwa tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa uhuru kama chombo huru, ambacho kinafanya kazi kwa mujibu wa katiba na sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…