Una uhakika wameenda kwa msajili kuichikua hiyo cheki au msajili kawapelekea???? Tulete uthibitisho ya kusaini hayo makabidhiano. Sidhani kama wamechukua hiyo cheki.Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Chadema huogozwa kwa uongo tuWanabodi.

Wewe ndiyo umeileta hapa ja,vini lete ushahidi!!!!Mkuu, mbona wenyewe hawajakanusha wewe ndiyo unakanusha.
Unavijua vigezo vya kupewa ruzuku au unabwatuka tu?Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Wanabodi.

Ujinga kama wewe utajua wapi?, mtaji wa mbowe ni wapuuzi kama ww kuwepo chamaniChadema haijachukua riziki hata ya senti moja. Acha uzushi.
Naona umefufuka baada ya miaka sitaWanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Sawa, tufanye wamechukua, na kwa kuwa hawazitaki ndiyo maana wamewafukuza uanachama. Mbona sisi ndiyo tunaaang'ang'ania kuliko wao? Au kuna asilimia ya hiyo ruzuku tunafaidika nayo?Ujinga kama wewe utajua wapi?, mtaji wa mbowe ni wapuuzi kama ww kuwepo chamani