CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

Kwa nini ya mwezi Novemba tu, huku Ruzuku ni distribution ya kila mwezi?? Serikali mnaionea Chadema wapeni Ruzuku yao full.
 
So ukiona mpunga wa bure kwenye account yako si unapopoa tu hamna namna,, kama noma iwe noma
 
Mkuu, mbona wenyewe hawajakanusha wewe ndiyo unakanusha.
Katibu Mkuu wa hicho chama Mh. John Mnyika alishawahi kukanusha mbele ya vyombo vya habari, ya kwamba hakuna ruzuku yoyote waliyo pokea. Hivyo hii taarifa yako haina ukweli.
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Ruzuku zimeingia kupitia account gani?
 
Hii issue ilisha kataliwa na,Chadema kitambo.
Hawa jamaa sijui wanaishi dunia ya wapi! Wanataka hao Chadema wawe wanakanusha kila siku! Maana walishakanusha kitwkbo tu! Na wangekuwa wanapokea hiyo ruzuku, wangepata wapi ujasiri wa kuwafuta ubunge hao wenzao!

Tena makada muhimu kabisa katika chama kama Mdee, Matiko, Bulaya, nk!!
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
"Rzuku wanayochukuwa"?

Wamechukuwa, au wamesukumiziwa?

Lakini niulize tu swali: Timu mpya imeingia kazini kuchukuwa nafasi ya ile ya Jiwe hapa JF?
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Si umuulize aliyewapa? umuulize hivi umewapa ya nini ruzuku ilihali wabunge wao wamewafukuza uwanachama? ikiwezekana umpeleke mahakamani huyo anayegawa ruzuku kwa wasiohusika.Yaani wewe udodoshe makusudi mimi niokote then swali niulizwe mimi kwanini nimeokota?
 
Kuingiza hela kwenye account ni jambo moja, kuichukua hiyo hela ni hanbo jingine.
Kama wanaichukua basi hiyo ni problem
 
Back
Top Bottom