CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

Hivi CHADEMA wakitumia pesa hiyo ya kulazimishwa itakuwa ni ishara ya kukubali uhalifu wa Ndugai?

Hili ni swali mkuu, siyo maoni!

Hilo ni bonge la tego...

Nadhani CHADEMA nao wameshauona na kuutegua...

Kwa swali lako, jibu ni BIG YES...
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Mambo mengine ya ajabu sana, unaingiza pesa kwenye akaunti ya chama ambacho kimegoma kuitambua serikali mpya halafu unakuja kulalamika kwani wao waliwaomba???? Yani msajili anajua kabisa msimamo wa chadema huyu ni mzembe wa kukamata na kuweka lupango. Chadema sio wa kulaumiwa hawajaomba hela hiyo.
 
Tunamjua vizuri,Al shabaab huyu
Wewe niite unavyopenda kwangu siyo tatizo, jibu la msingi nataka kufahamu kwa nini Chadema wamechukuwa pesa za ruzuku wakati wabunge wamewafukuza.
 
Wangetaka hiyo ruzuku wasingeandika barua kufahamisha mhimili.kwamba hao wabunge wamefukuzwa.

Ruzuku ni njia ya CCM kuendelea kujipatia ulaji
 
Inawezekana mwenyekiti wa Chadema angekuwa wa imani yako usingemshambulia.
Hivi kuhoji ni kushambulia? Nyie mnavyohoji humu mambo ya serikali mnashambulia kumbe.
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Ritz ninayemjua hana akili ndogo kiasi hiki. Ritz anajua sheria na kanuni za vyama na taratibu za nchi. Ritz anajua kabisa viti maalum havisababishi chama kupewa ruzuku bali kura za urais na Wabunge wa kuvhaguliwa. Kwa hiyo kama ni kushuka kiwango basi huna tofauti na Singida United.
 
Hata hao wabunge walipatikana kutokana na kura alizopata mgombea wa urais hivyo cdm wanahaki ya kupokea hiyo ruzuku.
 
Yawe
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Yaweza kuwa zimetumwa kwa makosa,huko huenda ni za wale wageni waliokaribishwa Bila chama.
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Mkuu KWA nini unajitoa ufaham ,unataka kumfurahisha nani, acha BWANA Mara moja Tabia hii
 
Suala la ruzuku sio kwa wabunge bali idadi ya kura za Rais.
Mnafanya propaganda kwa kuweka hesabu za ruzuku na idadi ya wabunge badala ya idadi za kura za mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Jambo la Msingi ni kwanini Katiba ikiukwe Kwa ajili ya kuinufaisha chama au kikundi fulani cha watu? Katiba na kanuni zetu zimesema mwakilishi WA wananchi lazima adhaminiwe na Chama cha siasa, sasa Hawa hawana dhamana ya Chama chochote cha siasa lakini wanalipwa stahiki za kibunge na Spika na Serikali wamejifanya vipofu hawaoni Hilo, Chadema nayo inapokea Ruzuku Kwa ajili ya Wabunge Hawa. Ipo Siku watu watajibu kwanini Matumizi mabaya ya Fedha za umma? Kwanini kumlipa Fedha mwakilishi asiye na dhamana ya Chama chochote cha siasa? Mhe. Spika na timu yako hapo hapana kuna jambo haliko sawa
 
Watajitetea kuwa hawakupokea Bali wameingiziwa.,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Kweli Magufuli alikunyoosha. Naona Umerudi JF. Back to the topic,kumbe pesa wanachukua ?😂😂😂
 
walishakanusha hawachukui,umepewa link. una kingine? kwa mtu aliyekuwa chimbo kama wewe angekuja na hoja nzito-kimya kizito kina mshindo. Sio unakuja na utopolo kama huu
Wamekushia wapi? Kukata mzizi wa fitina waite waandishi wa habari watangazie umma.
 
JF umekuwa ya hovyo sana siku hizi. Mtu analeta UZI bila vielelezo uzi unaachwa tuu.
 
Back
Top Bottom