CHADEMA mnaendelea kupotosha kuhusu suala la Ngorongoro, ila mtafeli kama mlivyofeli la bandari

hebu punguza hasira halafu uzungumze maneno ya maana. Hivi hao waislamu (au wakristo) walioko tanzania wana asili ya wapi? Ati wamasai ni native lakini waislamu siyo... sijawahi kusikia ujinga kama huu!

Usichanganye waislamu na waarabu hivyo ni vitu viwili tafauti.
 
Kwahiyo wale wanaoandamana kule ni Chadema??
 
Najua nyie timu Abdul hampendi hayo mambo yapingwe.
Kama unapinga,basi uje upinge kwa hoja..

Siyo unakuja na propaganda za ajabu ajabu kisha utegemee serikali iache kufanya mambo ya msingi isikilize upuuzi,hiyo haiwezekani.
 
Hasira ulizonazo hapa JF wakitangaza maandamano ajabu hutokei bararani,kama mwanume kweli ingia ROAD uone cha mtema kuni.
 
nyumbu,swala, pesa za madafu za mwarabu, na wamasai nani bora kwako mkoloni mweusi wewe.
 
wewe ni mwehu
 
Kama unapinga,basi uje upinge kwa hoja..

Siyo unakuja na propaganda za ajabu ajabu kisha utegemee serikali iache kufanya mambo ya msingi isikilize upuuzi,hiyo haiwezekani.
Huwezi kuwapndoa kabila nzima walipokuwa wakiishi tangu kuumbwa dunia kwa kigezo cha uwekezaji hata uwe uwekezaji mkubwa kiasi gani. Afadhali basi wangeamishwa kwa kufuata misingi ya kisheria na utu. Kunakuwa na majadiliano mapana na wahusika na kila mmoja analipwa fidia kikamilifu na wanapewa muda wa kutosha kuhama. Hawa ni binadamu sio ng’ombe hata ng’ombe wana haki zao ukitaka kuwahamisha eti sembuse binadamu! Nyie wazanzibari vp? I
 
Nimekuelewa sana broo hata Dar es salaam zamani ilikuwa mbuga ya wanyama lakini Kwa Sasa hata ngedere hakuna Kwa sababu ya ongezeko la watu
 
Sawa mwarabu wa Tz, endeles kutetea Ndugu zako. Hizi dini za kuletewa zinatutoa sana akili.
 
Waleykum Salaam...

Hawana ishu hawa,ni watu wa hovyo tuh...

Thats why mwendazake aliwapiga PINI kwa sababu ya upuuzi wao kama hivi.
Wewe Chura Kiziwi punguza kelele. Hao wajomba wako kawakabidhi nchi yenu ya Zanzibar.
 
Wewe Chura Kiziwi punguza kelele. Hao wajomba wako kawakabidhi nchi yenu ya Zanzibar.
Nenda basi kaungane na wamasai muandaname,mbona umebakia kupiga kelele tuh nyuma ya keyboard??unajitia ujanja kumbe nguchiro tuh
 
Wewe unadhani baina ya wanyama na wale wamasai nani kamfuata mwenzake ngoro ngoro??ile hifadhi ipo tokea zama za ukoloni,na wale wamasai wamekuja na kuikuta ile mbuga pale tambua.
 
Unaongea kama chiriku bila kujitambua,huko ngoro ngoro kwenyewe hujafika na hata hujui athari zikoje,umekalia kushupalia kauli za hawa maboya wenzako wa chadema,bora hata wenzako wanapotosha kwa maslahi na hela wanapata,sasa wewe umekaa kushangilia kitu usichokijua mwisho wake utanunuliwa SHANGA UPEWE UVAE...
 
Nenda basi kaungane na wamasai muandaname,mbona umebakia kupiga kelele tuh nyuma ya keyboard??unajitia ujanja kumbe nguchiro tuh
Nguchiro chura Kiziwi wewe Kaibinafsishe Zenji yenu.
 
Ngorongoro wangekuwa wanafurushwa bila kulipwa fidia na stahiki zinginezo ningeelewa kinyume na hapo ni siasa za kiki za Machadema
Hili jambo watu wameingiza siasa na kuchochea chuki dhidi ya serikali pasipo kuzingatia maslahi mapana ya nchi. Kiukweli kwa hili jambo nipo na serikali bega kwa bega. Ni uamuzi mzuri na wa busara
 
Wewe unadhani baina ya wanyama na wale wamasai nani kamfuata mwenzake ngoro ngoro??ile hifadhi ipo tokea zama za ukoloni,na wale wamasai wamekuja na kuikuta ile mbuga pale tambua.
Hata kule nyumbani kwa asili kwa babu zako zamani yote hiyo ilikuwa mbuga kama Ngorongoro ila mlichofanya nyie na mababu zenu ni kuharibu misitu na kufukuza wanyama, lakini wamasai wameitunza mbuga tangu enzi na enzi halafu leo mtu kutoka nchi nyingine anakuja kuwafukuza, kweli?!
 
Ngorongoro wangekuwa wanafurushwa bila kulipwa fidia na stahiki zinginezo ningeelewa kinyume na hapo ni siasa za kiki za Machadema
Wangelikuwa wamelipwa fidia wasingelalamika, na pia lazima pangekuwa na muda (countdown) ya kutosha ya kuwaondoa polepole na kwa staha. Mtu unafurusha kabila nzima lilimekaa pale tangu uumbaji halafu bado wamekuacha hai na unaendelea kuzuia wasipige kura na hata wasipelekewe chakula na huduma za afya. Ingekuwa ni watu wengine wangekuwa wameshamchinja huyo amiri jeshi na kumla nyama siku nyingi. Mjifunze kuheshimu watu nyie ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…