DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee yaani Magufuli. Uwezo. Wake mdogo ...sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kwelikama kutakuwa na uchaguzi huru na haki, CDM itawika tena na wabunge wengi tu! Hilo nina uhakka nalo! Kitabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.
Tulishatoa mapendekezoNdiyo maana tunasema CDM Makao Makuu iwe na mkakati wa kujaza fomu hizo, for example, kwa ku assign watu maalumu say wanasheria kusaidia kujaza hizo fomu under their strict supervision kwa kila mgombea!
The spiritual predictions is too vast...
Jr[emoji769]
Mimi nimekuelewaTatizo la wanasiasa wali wengi hususani wa vyama vya upinzani hawawajui vizuri wateja was ambao kimsingi ndio wapiga kura.
Wananchi wako wengi wanauelwa mdogo sana wa mambo.Nachelea kusema ni wajinga.
Angalau Chama tawala wanaujua ukweli huo,ndio maana wanaweza kuwashawishi kirahisi walio wengi na kura zikatosha.
Uchache wa wananchi walio na uelewa mpana wa mambo ndio unaovigharimu vyama vya upinzani kwenye chaguzi.
Siasa ni pamoja na kujua wateja wako wanakuelewa,hata kama unafanya mambo ya kipuuzi.
Nadhani nimeeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani mizengwe inakuwa kwenye kujaza fomu tu? kumbuka wanaopokea hizo fomu huwa wanajificha chini ya meza baada yakupokea za ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiundwe kikundi Cha kigaidi halafu mkiunge mkono!?? Sahau sababu haliwezi kutokea hilo kibongo bongoKiundwe kikundi cha kigaidi na sisi wananchi tukiunge mkono kipambane na wahuni hawa ccm tukivitegemea hv vyama vya upinzani hamna kitu ifike wakati sisi wananchi wenyewe tupambane na ccm itoke
Exactly!Tulishatoa mapendekezo
Kila Jimbo kuwe na mwanasheria but hawachukulii maanani.
Hata kupitia tu hizo fomu kabla ya kuwasilishwa kwa mtu mwelewa nalo Jambo jema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio corona mtanzania Wa kwanza mwanaume kuumwa corona alikuwa mtoto Wa mbowe chadema imehusika kuleta coronaKwa maana yako cdm isipo pata mbunge na diwani ndiyo itakuwa dawa ya corona?
In God we Trust
Uko sahihi, nasema moja wapo ni kujaza fomu, kufunga ofisi, kukataa kuzipokea makusudi etc na mbinu nyingine watakazobuni hata za wazi wazi... unampa anazichana kuwa sijapokea etc etcUnadhani mizengwe inakuwa kwenye kujaza fomu tu? kumbuka wanaopokea hizo fomu huwa wanajificha chini ya meza baada yakupokea za ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata msaki chade
Ndio corona mtanzania Wa kwanza mwanaume kuumwa corona alikuwa mtoto Wa mbowe chadema imehusika kuleta corona
Chadema safari hii hampati mbunge wala diwani hata
Hata mmoja sababu kwenye maslahi na mambo ya nchi hamsimsmii kaxi yenu kutetea mataifa ya nje tu kukitokea issue ypyote ya Tanzania na nje ya nchi nyie mnasimama na nchi ya nje hata mshinde hamtatangazwa
Toka lini chadema mkatetea maslahi ya taifa? ndio.maana hatuwataki hata mshinde hamtatangazwa .Kama mna pesa za kupoteza gombeeni zipoteeMimi nilidhani hawatashinda, kumbe ni hata wakishinda hawatatangazwa! Sasa tunaposema tume ya uchaguzi haipo huru, huwa mnatokwa na mishipa kwanini? Maslahi ya nchi hayalindwi kwa utashi wa ccm, na hakuna mwanacdm atatii utashi wa ccm kwa kichaka cha kujifanya eti maslahi ya taifa, ili kupata hisani ya kutangazwa iwapo atashinda. Inapokuwa maswala ya maslahi ya taifa acheni kutafungamanisha na uccm, ili maslahi ya taifa yasichanganywe na sifa za kiccm. Propaganda za kipuuzi haziwabebi kwenye mazingira haya boss.
Inawezekana pia wabunge wa upinzani watakaoshinda uchaguzi na kutangazwa, wakapitishwa kwa huruma.
Watu wanakaa mezani na kujadili,
Vp mbowe apite, HAPANA
Prof J vp, ahh huyo mwacheni hana mazara
Heche je, mmmh tutasoma upepo kule jimboni
Lema vp, fyekelea mbali
Mnyika, futa kabisaaa, tumembembeleza sana.
Kubenea, usiulize we delete huyo
Mdee na wenzake je, marufuku kuwasikia tena hao
Mbatia vp, We unaonaje, huyu tumuache tu, poa
Hata ushinde, watu wanapindua meza kibabe,
Focus ya upinzani iwe ni kwa namna gani watahakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki,
Na ikitokea ukawa sio huru na haki, wamejipangaje kuhakikisha hali hiyo inakomeshwa kabisa.
Toka lini chadema mkatetea maslahi ya taifa? ndio.maana hatuwataki hata mshinde hamtatangazwa .Kama mna pesa za kupoteza gombeeni zipotee
CDM atabaki Prof J tu
NCCR ndio itakuwa na wengi
kama wabunge wetu walivyoenda lockdown "kwa hiari yao"?