CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
 
Polisi wa Tanzania wanavyoitumikia CCM badala ya wananchi ni uzalendo?

8860003675.jpg
 
You must be stupid, stupid indeed. Waambie CCM na serikali watende haki. Uzalendo kwenye dhuluma. Uzalendo si ulofa . Ona sasa huyu mmemdhulumu madini yake akaleta maafa. Stupid, what is uzalendo, mavi! Tendeni haki. Dhuluma kila mahali, tozo, miamala, Luku, Mbowe, Azory, Ben saanane etc etc
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Si mlikuwa mnautaka ugaidi, nadhani mmeuona sasa
 
Kwanini lisihusishwe na siasa kama jamaa amevaa shati la rangi yenu, lenye nembo yenu, tena wakati huu mnapomuhusisha Mbowe na ugaidi?

Tatizo lenu huwa mnapanda chuki, halafu wakati wa mavuno ukifika mnaogopa kwenda shambani kuvuna.
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Taifa lililojaa uonevu na kukosekana haki kwa makundi yanayolengwa huwa hupelekea mambo kama hayo,tusipojitafakari kama taifa kwa maslahi ya wote,no suala la muda tu,tutafika huko kikamilifu.
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Msemaji gani huyo wa Cdm alieonyesha furaha ?!. Wapi tamko lao rasmi la kuunga kuuawa kwa police ?!

Au ni dhana yako ? Kama Jambo linahusishwa na dhulma mjitafakari . Dhulma si uzalendo ni unyang'anyi tu
 
Back
Top Bottom