CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Nasikia Hamza alilipwa 600,000 na Mbowe
 
Sawa
IMG_20210826_102419.jpg
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Ningekuona wa maana kauli yako ungeanza kuielekeza kwa kijani come walioghushi kadi ya Hamza kuwa alikuwa mwanachadema.Nawaapia msipobadilika many okay tu.
 
Chadema iliyokuwa na uwezo wa kuona hayo ilishakufa zamani, hii ya sasa hivi ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi.
Kagenge ka Aina ya sabaya makonda na siro kanakotokea ccm hukaoni?
 
Mnalitumia jeshi la polisi vibaya
Mnalitumia jeshi la polisi kisiasa
Kuonea wapinzani kuuwa kubambikia kesi huo uzalendo unatoka wapi?
 
Mtu Kama siro hata akidondoka na helkopta leo akafa itakuwa furaha Kama kifo Cha magufuli mmekuwa waonezi mno kwa jamii
 
Kwani mama si ni mwema sana kwanini asiiondoe?

Wema autoe wapi, wala hatuhitaji wema toka kwake bali afuate sheria. Lakini yeye sio dhalimu kama lile dubwasha lako.
 
Siyo dhalimu kama lile dubwasha lako ndio!

Sasa mimi nashangaa bado mnalia kwamba mnaonewa!

Mama anaupiga mwingi sana!
 
Ni kweli uonevu upo, ila sio kwa kiwango cha lile dubwasha lenu.
 
Kwanini lisihusishwe na siasa kama jamaa amevaa shati la rangi yenu, lenye nembo yenu, tena wakati huu mnapomuhusisha Mbowe na ugaidi?

Tatizo lenu huwa mnapanda chuki, halafu wakati wa mavuno ukifika mnaogopa kwenda shambani kuvuna.
Kwahyo unawaambie wakavune hawataki mkuu! 🤣🤣🤣
 
Kabisa mkuu! Siyo wa kiwango cha lile dubwasha lako!

We fikiria hadi magaidi yamekamatwa yako rumande!

Kumbe lile dubwasha lako lilikuwa linalea magaidi bhana!
 
Katoe ushahidi wa hiyo kesi ya kitoto. Lakini dhalimu alikuwa ni kiongozi muovu na muuaji fullstop.
 
Back
Top Bottom