CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

Katoe ushahidi wa hiyo kesi ya kitoto. Lakini dhalimu alikuwa ni kiongozi muovu na muuaji fullstop.
Kesi ya kitoto?

Mama anaupiga mwingi, siyo dhalimu, siyo muovu, unasemaje tena kesi ya kitoto?
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Magaidi wanatoka ccm sio CDM, Mbowe aachiwe!
 
Watanzania wengi ni wazalendo ila polisi wetu ndo wanajenga chuki Kwa raia ebu njoo maeneo yenye migodi uone polisi wanavyopiga madili na kunyanyasa raia hawa polisi nao wamekuwa wezi na taamaa sana hata kudhulumu raia wanaona ni haki yao maana wanalindwa na mfumo na wao pia kulindana
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Je Uzalendo ni nn kwangu uzalendo kwako sihusiki je hiyo ndio uzalendo TAFAKARI
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake
 
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.

Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.

Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.

Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Ungekuwa mzalendo unaeyaishi maneno yako ungekuwa ushahoji zile risasi 38 alizopigwa yule bwana eneo la viongozi hadi leo hakuna RB Polisi, halafu unaisema bila woga eti uzalendo, subirini, saa inakuja, Tena imekaribia
Pamoja na uchadema wako... Angeuwawa nduguyo ungeshangilia??
Mbona risasi za Lisu mnashangilia hadi leo?! Tulieni, kunachemka. Malipo hapahapa
 
Back
Top Bottom