Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Sasa ilimsichochee mambo hayo tendeni halo.Pamoja na uchadema wako... Angeuwawa nduguyo ungeshangilia??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ilimsichochee mambo hayo tendeni halo.Pamoja na uchadema wako... Angeuwawa nduguyo ungeshangilia??
Kumbe chadema ndio waliofoji kadi ya uanachama wa huyu jambazi ili ionekane ya chama chao? UVCCM huwa hamjielewi mara ingine, mlikimbilia kufoji kadi ya chadema sasamamboyamewekwa hadharani mnawalaumu chadema.Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Mbataka mpate kula zaidi ya wanachama mliowaandaa?Baada ya ukweli kuanza kukaa vizuri ndio mnasema hilo tukio lisihusishwe na siasa? Hatuna muda wa kupenda serikali ya majizi ya kura. Na hatuko tayari kunyanyaswa kwenye nchi yetu na majizi ya kura.
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Chadema iliyokuwa na uwezo wa kuona hayo ilishakufa zamani, hii ya sasa hivi ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi.
Waanze na hao magaidi wenzake WA ccmKweli kabisaView attachment 1908627
ushabuki > ushabiki, meza kwanza ilo fundo la bia acha haraka mwana ccmKuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Angalia hapo ndugu mzalendoKuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Komenti tamu Sana hii.Huu uzalendo mbona huwa mnaulazimishia kwa CHADEMA tu, vipi nyie hauwahusu?
Mada gani, mada zikiwashinda MaCCM mnafanya UGAIDI kutesa, kuteka, na kuua Watanzania. Hamjawahi kuamini katika mada. CCM ni MAGAIDIJadili mada kwa misingi inayofaa acha ushabiki. Nani ni Ccm?
Hiyo paragraph ya mwisho nataka warudie kuisoma mara kumi, na wakitembea barabarani waiimbe kama wimbo wa taifa.Shida nyingine ya nchi hii ni mchezo wa kurushiana lawama, tena lawama zenyewe zinaelekezwa kusiko husika. CC. "wapinzani walituchelewesha sana".
Mmeshawageuza CDM ni jalala lenu la kutupa taka za lawama. Na hii tabia ya kudeflect blames ni inafanywa na watu wenye tabia za kuwa irresponsible, childish and stupid wasiofaa kupewa madaraka wala uongozi.
Tujifunze kuwa responsible and accountable labda tutaenda mbele kidogo yaani hakuna kiongozi hata mmoja wakusema "it's my faulty, sijatimiza jukumu langu, napisha uchunguzi, naomba kuwajibika etc.
Hilo la kudhulumiwa madini na Polisi umeliandika kama ulikuwepo kwenye tukio!!You must be stupid, stupid indeed. Waambie CCM na serikali watende haki. Uzalendo kwenye dhuluma. Uzalendo si ulofa . Ona sasa huyu mmemdhulumu madini yake akaleta maafa. Stupid, what is uzalendo, mavi! Tendeni haki. Dhuluma kila mahali, tozo, miamala, Luku, Mbowe, Azory, Ben saanane etc etc
cjakuelewaKuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Uvccm wanafundishwa ugaidi?Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Unanyanyaswa?Baada ya ukweli kuanza kukaa vizuri ndio mnasema hilo tukio lisihusishwe na siasa? Hatuna muda wa kupenda serikali ya majizi ya kura. Na hatuko tayari kunyanyaswa kwenye nchi yetu na majizi ya kura.