Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Uzalendo huku watu wakionewa waziwazi?
Mjifunze kutenda haki.
Hamjakuta ilani ya Chadema mlivyoenda ku search nyumba ya huyo gaidi?Chadema iliyokuwa na uwezo wa kuona hayo ilishakufa zamani, hii ya sasa hivi ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi.
Kweli kabisaChadema iliyokuwa na uwezo wa kuona hayo ilishakufa zamani, hii ya sasa hivi ni kagenge ka wahuni fulani tu wenye interest zao binafsi.
Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Si mlikuwa mnautaka ugaidi, nadhani mmeuona sasaKuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Taifa lililojaa uonevu na kukosekana haki kwa makundi yanayolengwa huwa hupelekea mambo kama hayo,tusipojitafakari kama taifa kwa maslahi ya wote,no suala la muda tu,tutafika huko kikamilifu.Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Msemaji gani huyo wa Cdm alieonyesha furaha ?!. Wapi tamko lao rasmi la kuunga kuuawa kwa police ?!Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha.
Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabuki wa kitoto.
Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana.
Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
Pamoja na uchadema wako... Angeuwawa nduguyo ungeshangilia??Uzalendo huku watu wakionewa waziwazi?
Mjifunze kutenda haki.