CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

Kumbe chadema ndio waliofoji kadi ya uanachama wa huyu jambazi ili ionekane ya chama chao? UVCCM huwa hamjielewi mara ingine, mlikimbilia kufoji kadi ya chadema sasamamboyamewekwa hadharani mnawalaumu chadema.
 
Baada ya ukweli kuanza kukaa vizuri ndio mnasema hilo tukio lisihusishwe na siasa? Hatuna muda wa kupenda serikali ya majizi ya kura. Na hatuko tayari kunyanyaswa kwenye nchi yetu na majizi ya kura.
Mbataka mpate kula zaidi ya wanachama mliowaandaa?
 

Haki huinua taifa
 
ushabuki > ushabiki, meza kwanza ilo fundo la bia acha haraka mwana ccm
 



 
Angalia hapo ndugu mzalendo
 
Shida nyingine ya nchi hii ni mchezo wa kurushiana lawama, tena lawama zenyewe zinaelekezwa kusiko husika. CC. "wapinzani walituchelewesha sana".

Mmeshawageuza CDM ni jalala lenu la kutupa taka za lawama. Na hii tabia ya kudeflect blames ni inafanywa na watu wenye tabia za kuwa irresponsible, childish and stupid wasiofaa kupewa madaraka wala uongozi.

Tujifunze kuwa responsible and accountable labda tutaenda mbele kidogo yaani hakuna kiongozi hata mmoja wakusema "it's my faulty, sijatimiza jukumu langu, napisha uchunguzi, naomba kuwajibika etc.
 
Jadili mada kwa misingi inayofaa acha ushabiki. Nani ni Ccm?
Mada gani, mada zikiwashinda MaCCM mnafanya UGAIDI kutesa, kuteka, na kuua Watanzania. Hamjawahi kuamini katika mada. CCM ni MAGAIDI
 
Hiyo paragraph ya mwisho nataka warudie kuisoma mara kumi, na wakitembea barabarani waiimbe kama wimbo wa taifa.
 
Hilo la kudhulumiwa madini na Polisi umeliandika kama ulikuwepo kwenye tukio!!
 
cjakuelewa
 
Uvccm wanafundishwa ugaidi?

Uvccm ndio wasiojulikana?

Je polisi na uvccm kunauhusiano?

Bado maswali nimengi

Huyu bwana anaonekana ni ccm Kwenye picha.

Ccm wanafundisha ugaidi kwa wanachama wao?

Huyu Jamaa alipata wapi na nani alimfundisha matumizi sahihi ya dhana tofautitofauti za kivita?
 
Baada ya ukweli kuanza kukaa vizuri ndio mnasema hilo tukio lisihusishwe na siasa? Hatuna muda wa kupenda serikali ya majizi ya kura. Na hatuko tayari kunyanyaswa kwenye nchi yetu na majizi ya kura.
Unanyanyaswa?

Kwani dhalimu si amekufa sasa unanyanyaswaje?
 
Jamaa alijiunga na chama juzi kati, na kupewa maelekezo na mwenyekigoda. Laki 6 imemponza kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…