meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Hivi Nyie CHADEMA mna matatizo gani? Maana naona matamko yenu na misimamo yenu kama chama au mmoja mmoja yanaashiria kukengeuka kwa kiwango cha juu sana.
Sisi kama wazalendo na wasema kweli na tunaosimama na ukweli siku zote tuliwaonya sana kwamba msimchukue mtuhumiwa wa ufisadi yeyote kutoka CCM.
Mlitushangaza sana wananchi pale mlipoamua kumchukua mtuhumiwa wa ufisadi na kumfanya awe mgombea wa nafasi nyeti.
Mimi na wenzangu tulishangazwa na hatimaye tuliamua kukataa kuwaunga mkono kwa kuwa mlitusaliti kwa kiwango cha juu kabisa kwani yule fisadi mliyemsema kwa miaka mingi mlimgeuza kuwa ndio mshika dau namba moja !
Tulionya, tulichukia na tulipinga kwa nguvu zote. CHADEMA ilihalalisha ufisadi nchini na hili ni kosa kubwa na watalijutia milele.
Leo hii mtuhumiwa wa Rushwa anapoteuliwa na Rais kinachowashangaza au kuwauma ni kipi?Kwani alichokifanya Rais si kilekile alichokifanya Mbowe 2015??
Nawaasa kufunga midomo na kuacha watu wafanye kazi, hata Magufuli kaweka kagia kadogo cha anga kwa Mnyeti kwa hiyo ngoma droo.
Yaani mkitaka kumtuhumu Magufuli muondoeni yule mtuhumiwa wa Ufisadi mliyemsafisha kwa dodoki la chuma kwanza.
Samahani kwa kutumia lugha ya kukera ila nataka iwaume kama ilivyotuuma sisi 2015.
Lowassa na Sumaye hamna nafasi CHADEMA