CHADEMA mnalalamika nini? Tuliwaonya msihalalishe ufisadi hamkusikia wala kuelewa!

Mlitushangaza sana wananchi pale mlipoamua kumchukua mtuhumiwa wa ufisadi na kumfanya awe mgombea wa nafasi nyeti.

Mimi na wenzangu tulishangazwa na hatimaye tuliamua kukataa kuwaunga mkono kwa kuwa mlitusaliti kwa kiwango cha juu kabisa kwani yule fisadi mliyemsema kwa miaka mingi mlimgeuza kuwa ndio mshika dau namba moja !

CDM ni kama yesu na Zakayo.........hatubagui, tunakaa na wenye dhambi, tunawabadilisha......
Inatoa uwokovu wa siasa.............
 
CCM mmeshindwa kupambana na rushwa mnasingizia Chadema kumpitisha Lowassa? Kama Lowassa ni mla rushwa mbona hajakamatwa na kushitakiwa popote? Takukuru iko chini ya Rais, polisi, jeshi, magereza vyote viko kwenu mmeshindwa kuwakamata?
Halafu mnakuja kuendeleza rushwa zenu kwa sababu za kijinga?
CCM ni chama cha wala rushwa hata Lowassa asingehamia Chadema
 
Eti wanateua mtuhumiwa cos hata chadema wapo.Mungu wangu.Mkuu anatakiwa kuwachukulia hatua mafisadi bila kujali itikadi ya chama.sasa mambo yamekua tofauti.anateua watuhumiwa eti kwa sababu kwa wapinzani pia wapo.Mungu wangi.Ni nani hasa ametuloga cc?.Hivi akifanya hvi anamkomoa nani?,chadema?.Hakika asili ya mtu haiwezi fichika.Ukiona mtu anaiba kwa sababu na yy ameibiwa huyo ni mwizi tu.
 
Two wrongs don't make a right.Uovu hauna ngoma droo.Kwa mtu mwenyewe akili timamu hii hali inasikitisha sana
Acha vimethali vya kitoto, jibu hoja, nyie si mnae mtuhumiwa wa ufisadi!!
 
Tofauti ya hawa watuhumiwa wawili ni kwamba mmoja hakuna ushahidi wa "dhahiri" dhidi yake zaidi ya maneno ya mtaani, huyu mwingini upo ushahidi mbao walio mtuma wameukataa kuufanyia kazi kwa hofu ya walio mtuma kubainika endapo kesi ikifikishwa mahakamani.
 
Hata ningepinga au kinyume chake haiwezi kuondoa uhalali wangu wa kuikosoa na kuiwajibisha serikali inayonitumikia mimi...!!
Kinachoongelewa ni kuwa hao matahira should learn to keep their big mouths shut!

Kuna mifano mingi; Makonda, Gambo na Nape ni hai zaidi. Wamempandisha cheo Mnyeti bila haja, tena kwa kutumia teknolojia kubwa kutoka Uingereza.

Kama wana haki ya kumpinga Mag kwa kila kitu, Mag ana haki ya kuwapinga kwa kila kitu pia!
Bure kabisa...
 
Mnyeti naye hajapelekwa mahakamani. Ngoma droo
 
Unafiki wenu pelekeni huko huko...nyie ndo mlituhumu so mlipaswa kupeleka tuhuma zenu mahakamani kwasababu mlisema ushahidi mnao na mkaonyesha mbele ya waTanzania makarabrasha mliyoyaita ushahidi wa ufisadi wa Lowassa vipi mmefungia maandazi ?!
 
Kwani Lowasa alituhumiwa na nani?
No nani waliosimama Mwembeyanga na kutusomea orodha ya mafisadi?
Jitahidi kuwa na kumbukumbu
 
kwa hiyo mtu akiwa CCM ni mbaya akihamia kwenu ni shujaa!!!! hahahahaha usifananishe imani na ujinga ili kutetea mafisadi ..maana lowasa hakuna kwenu for free nenda kamuulize mbowe alioewa kiasi gani
 
kwa hiyo mtu akiwa CCM ni mbaya akihamia kwenu ni shujaa!!!! hahahahaha usifananishe imani na ujinga ili kutetea mafisadi ..maana lowasa hakuna kwenu for free nenda kamuulize mbowe alioewa kiasi gani
nenda kamuulize mbowe alipewa kiasi gani maana Lowassa hakuja kwenu for free
 
kwa hiyo mtu akiwa CCM ni mbaya akihamia kwenu ni shujaa!!!! hahahahaha usifananishe imani na ujinga ili kutetea mafisadi ..maana lowasa hakuna kwenu for free nenda kamuulize mbowe alioewa kiasi gani
kama Lowassa kweli ni fisadi walahi tena nitakuwa wa kwanza kushangilia pale JPM atakapotuma vijana wake kwenda kumshughulikia.

kuna conclusion moja tu.. Lowassa ama ni fisadi lakini anaogopwa sana na dola au siyo fisadi kabisa!!
 
Vipi mkuu ule ushahidi mliokuwa mnajitamba kwamba mnao mkawaonesha watanzani makaratasi meeengiii vipi nao mliuombea ukatakasika...nguvu hii hii ndo mliitumia kumchafua kipindi yupo CCM je tutajuaje na mnyeti mnmchafua ili aje kwenu ?!
 
kama Lowassa kweli ni fisadi walahi tena nitakuwa wa kwanza kushangilia pale JPM atakapotuma vijana wake kwenda kumshughulikia.

kuna conclusion moja tu.. Lowassa ama ni fisadi lakini anaogopwa sana na dola au siyo fisadi kabisa!!
hahahaha mlidai ushahidi mnao vipi upelekeni maana nyie ndo mlisema loawasa ni fisadi...
 
Tulibadilishia gia angani
 
hahahaha mlidai ushahidi mnao vipi upelekeni maana nyie ndo mlisema loawasa ni fisadi...
ushahidi ilikuwa ni ile taarifa ya Mwakyembe. baadaye alipohitajika kutoa maelezo akiwa ndani na baadaye nje ya CCM, Lowassa akamtaja mhusika (wahusika). ushahidi wa kuwa yeye hakuwa ndiye mhusika ni pale vyombo vya dola viliponyamza bila kumchukulia hatua....upo hapo?

bado unahitaji lecture yangu?

maswali!!
 
Who said two wrongs make things right?
Muache kulalamika wakati ukiukaji wa awali ulifanywa na ninyi wenyewe
Chadema wangebaki Na agenda ya kupinga ufisadi Na rushwa bila kumchukua lowasa akabaki CCM nakuhakikishia CCM tungekuwa wengi ICU kwa kukosa hoja .kumchukua Lowasa waliyemtuhumu fisadi kwa miaka 20 halafu Ndani ya siku moja wakamkubali Na kumpa ugombea uraisi kuneipeleka chadema moja kwa moja kwenye kaburi LA kisiasa
 
Tuhuma za Lowasa hakuna Video hakuna ushahidi na tume ya Mwakyembe haikuwahi kumhoji Lowasa, tuhuma za mnyeti zina video kila kitu kipo wazi kwanza usitake kumfananisha Lowasa na mnyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…