CHADEMA mnalalamika nini? Tuliwaonya msihalalishe ufisadi hamkusikia wala kuelewa!

Mmiliki wa Richmond ni kikwete
 
Na Magufuli kafanya hivyo hivyo
 
Unafiki wenu pelekeni huko huko...nyie ndo mlituhumu so mlipaswa kupeleka tuhuma zenu mahakamani kwasababu mlisema ushahidi mnao na mkaonyesha mbele ya waTanzania makarabrasha mliyoyaita ushahidi wa ufisadi wa Lowassa vipi mmefungia maandazi ?!
Wewe wa wapi bwana! Mahakamani kwa mujibu wa sheria ya nchi hii ni waliopo madarakani ndiyo wanaotakiwa kupeleka kesi mahakamani, kwani makosa ya jinai si jambo linalofanywa holela kwa kila mtu kupeleka kesi mahakamani!
 
Ccm mnapozungumza eti UFISADI Chadema huwa napata taabu kuamini uwezo Wa akili za wanaccm
 
CCM hakuna msafi hata mmoja, wote wameoza. Kwa hiyo yeyote anayetoka CCM lazima ana madudu yake lakini Upinzani atapata nafasi ya kutubu/kujirudi na kutoa mchango chanya kwa Taifa na Watanzania.
 
Wewe ni mwananchi uliyepinga fisadi kisafishwa na chadema??Au unajivika huo uananchi katika mada hii tu?

Huo ufisadi unaong'ang'ania kuwa umesafishwa ba CHADEMA wewe na serikali yako mmeshindwa nini kuufungulia mashitaka? Unataka kutuambia kuwa CHADEMA wakiutakasisha basi nyiye hamna tena nguvu ya kuuchukulia hatua? Dola.mmnayo au nayo imewekwa rehani na ile ndege?
 
Kwa tafasili yangu ni kuwa mtu akitajwa na cdm kuwa ni muovu huyo ni mtu msafi sana.

Kumbuka walivyokuwa wakimsema Lowasa na sasa wanavyomthamini. Kumbuka walivyokuwa wakimsema Nyalandu leo wamempokea kwa shangwe. Kumbuka walimwita Sumaye mr zero leo ni lulu kwao. Kumbuka walivyokuwa wakimshambulia Nape leo wanaombea aungane nao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo kwa miaka yote mliyomwita Lowasa kuwa ndiye mkuu wa mafisadi ilikuwa mnatania!!
 
hii ni thread ya kipuuzi kama vyombo ya dora havina ubavu wa kuwakamata wale wote wezi waliosafishwa na chadema as if wanamahakama basi Taifa la Tanzania hamna kitu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo kwa miaka yote mliyomwita Lowasa kuwa ndiye mkuu wa mafisadi ilikuwa mnatania!!


Kwanza siko CHADEMA hilo ulielewe.
Sasa nyie si ndio mna dola mkamateni basi. Alienda CHADEMA akaeleza kila kitu ndio akakubaliwa kujiunga. Aliyekuwa na lake anakula mihogo saa hizi.
 
Hivi unavyoongea Ufisadi unaongelea chama gani zaidi ya ccm? Sidhani kama unawaza kwa kutumia japo akili ndogo uliyojaaliwa.
 
mmeshaingia kwenye mfumo kama Yanga inavyowaingiza Team flani kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…