1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na Lowassa. Hapo ndo anguko lenu.
3. Kumbukeni, 2025 ushindi Ni Lazima kupitia mabango, wasanii na mamluki.
4. Baada ya 2025 atarejea Nyumbani
Hizi ni siasa za kininga sana za kijanga sana za kuwaita wazalendo wa nchi hii kuwa ni mamluki na wasaliti.
Mpina ana uhuru wa kuhamia chama chocchote alimradi havunji sheria.
Hata nyerere alisema CCM sio mama yangu wala baba yangu sembuse Mpina !
Mpina akienda Chadema basi ni vema wakampokea mana kwa sasa anapambana na majizi ndani serikali na chama chake.
Sasa Chadema wasipompokea mpina watampokea nani?
Chadema imefikia hapo ilipo kwa sababu ya kupokea watu wanaotoka CCM na CCM inakufa kwa sababu ya wanachama wake kukimbia .
Mpina asipangiwe pa kwenda.
Siasa sio vita vya mabomu na bunguki ni hoja kati ya Wazalendo(Chadema ? na wahuni ndani ya CCM . Sasa kama mtu hataki kubaki na wahuni basi ajiunge na wazalendo kuikomboa nchi.
Ni ujinga mtupu kusema eti atatoa siri za Chama. Hayo yanakua wakati wa kupigana vita kijeshi lakini kwenye siasa hakuna siri ndo maana kila tukio wanatamani lirushwe live ili wananchi wajue. Siri mara nyingi ni yale mambo mabaya. Hata wazinzi wanajificha mana wanachofanya sio halali.
CCM wana siri nyingi mana wanakwapua mali za umma na kilindana huku wakiwahadaa wananchi kwa rushwa na uongo . Huko ndio kuna siri za kuficha . Sasa Chadema wanaficha kitu gani waogope kumkaribusha mtakendo Mpina . Hakuna msukuma mnafiki wala muoga .
Mpina amewapiga bao na kuisoma ile Ripoti adharani mana kwa ile ripoti mngeweza mkamtumia majangili kama Dr. Mvungi na kisha ripoti ikayeyuka . Sasa amewazidi kete na kuisoma adharani. Ushahidi uko hadharani. Hata mfanye nini watanzania wamesimama na mpina .
Lisu Wapeleke kasi mpaka watakaa chini chali.
2025 Watanganyika wameapa kulinda kura zao na kunyooka na wezi wa kura.
Kuwaacha wezi wa kura ili waingie madarakani na kuiba mali za watoto wa mamilioni ya Watanganyika ni kumkosea Mungu na Taifa aliyeumba kila kitu na kutamani kuona watu wema wanaongoza wengine katika kugawana rasilimali za nchi kwa haki.