Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi?
Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais wa JMT wa watu 65M walio active…..serious ? Huu ni UHUNI
What if Lissu angeshinda Urais ? So mlikuwa mnaiweka nchi rehani ?
Honestly….. nyie ni genge la wahuni… ni sahihi JPM alivyowatoa bungeni. Na baada ya hili ….. hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakuwa ana deal na chadema
When it comes about Uenyekiti , ndio tutaambiwa huyu ni Msaliti, dola inasukuma Kete, chadema ije kufeli blah blah ….very poor thinking and Manipulation. Serikali iache kutimiza wajibu kwa wananchi ipoteze muda na chama ambacho hakina uhai wala Dira…. Umeitukana Dola…… dola ikikuita uthibitishe accusations zako…. Unaweza kutoa ithibati ambayo can be checked and verified by anyone ?
Chadema hakina any impact ndani ya Tanzania ambayo itaifanya serikali
Ianze kusukuma kete… that is manipulation na Uzushi…,,Not only dola, aidha, Chadema hakijawahi kuwa na madhara hata kwa CCM since independence… and you can be sure Chadema hakitokuja kuwa na madhara kwa CCM hata siku moja…:
CCM kama ni kutoka madarakani basi kitaondolewa na chama TOFAUTI na Chadema. That is naked truth
CCM ni chama cha wananchi, Chadema ni kikundi cha watu fulani…. Tofauti ni kubwa!
Mwenyekiti wa CCM akishamaliza miaka 10 …. nafasi inabaki wazi everyone is free kugombea… that is democracy na muende kwa Nchimbi akawafundishe Democracy!
We all know , Lissu ni mpinzani HALISI kushinda mbowe and Lissu means upinzani wake……so hizo manipulations na accusations zenu ni childish and we all know what you are trying to cook ! Chadema is predictable
Chadema inahubiri KATIBA Mpya, tume huru and all that there is …..yet ndani ya Chadema katiba yenu ambayo ilibadilishwa na mbowe kutoa ukomo hai reflect HITAJI lenu …..tume huru, katiba mpya…that is absurd una demand kitu ambacho wewe huwezi kukiishi…. ni aibu
Tunaweka rekodi sawa mpaka mtuambie yaliyomo yamo?
Lissu hajawai kuwa msaliti, Mbowe ametumika na dola kwenye misheni nyingi za kisaliti and we all know ,Lissu is against the gvt tunajua hilo…. There is no way Lisu anaweza kutumika.. it is impossible muache uzushi na hiyo strategy mnayotumia kila nafasi inapoguswa ni outdated na inaonesha you guys are not smart. Leo mnaanza kumzushia lissu usaliti sijui vikao nairobi? manipulations….. rudini kwenye drawing table muje na strategy mpya
Unite or die choice is yours