Pre GE2025 CHADEMA mnaogopa nini kumfukuza uanachama Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Mimi sio mwanachama wenu ila nimesikia kuwa kavunja Katiba ya chama chenu kule X lakini mpo kimya? are u selective?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ninamchukia Sana Lissu ,ninauchukia sana mdomo wa Lissu.huyu Mtanzania mwenzetu ni mropokaji sijapata kuona. sielewi Alililewa vipi na wazazi wake katika udogo na makuzi yake.sielewi maadili yake yalikuwaje,sielewi kama alifundishwa staha ,adabu na nidhamu ya mdomo wake.

Huyu Bwana ni mtu aliyekosa chujio la ulimi na mdomo,ni mtu ambaye hajui na hafahamu wapi aongee nini na wapo asiongee nini.hafahamu kipi kitoke kwenye ulimi na mdomo wake na kipi kikae kifuani pake. Ni mtu mzima lakini asiyeendana na matendo yake.Anazeeka akiwa amekosa busara na hekima za mdomo wake.

Ni mtu ambaye akifungua mdomo wake na kuzungumza inabidi uwe na uvumilivu wa kumsikiliza.Maana bila hivyo waweza kujikuta unapandwa na hasira sana.

Lissu ni mtu ambaye alinyimwa kabisa Na Mungu hekima na busara.Ni mtu ambaye hafai kabisa kuongoza kundi lolote lile la watu wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ni mtu aliyejaa ukurupukaji,Mihemuko na Uropokaji. Simchukii kwa sababu nina chuki naye binafsi.bali ninamchukia kwa sababu tabia yake na mwenendo wake usiofaa kabisa kuigwa katika jamii.

Ni mtu ambaye utafikiri mdomo wake unamuwasha muda wote.au utafikiri ameweka moto mdomoni ambao unakuunguza muda wote na hivyo kumfanya ashindwe kufumba na kukaa kimya na hivyo kuanza kuzungumza muda wote hata asipostahili kuzungumza.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Lissu yuko katika self destruction mode
 
Chuki yako haimpunguzii Lissu kitu sana sana unajidhalilisha tu kwa makala hizi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ninamchukia Sana Lissu ,ninauchukia sana mdomo wa Lissu.huyu Mtanzania mwenzetu ni mropokaji sijapata kuona. sielewi

Lucas Hebel Mwashambwa,
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。

Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。

P
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ninamchukia Sana Lissu ,ninauchukia sana mdomo wa Lissu.huyu Mtanzania mwenzetu ni mropokaji sijapata kuona. sielewi Alililewa vipi na wazazi wake katika udogo na makuzi yake.sielewi maadili yake yalikuwaje,sielewi kama alifundishwa staha ,adabu na nidhamu ya mdomo wake.

Huyu Bwana ni mtu aliyekosa chujio la ulimi na mdomo,ni mtu ambaye hajui na hafahamu wapi aongee nini na wapo asiongee nini.hafahamu kipi kitoke kwenye ulimi na mdomo wake na kipi kikae kifuani pake. Ni mtu mzima lakini asiyeendana na matendo yake.Anazeeka akiwa amekosa busara na hekima za mdomo wake.

Ni mtu ambaye akifungua mdomo wake na kuzungumza inabidi uwe na uvumilivu wa kumsikiliza.Maana bila hivyo waweza kujikuta unapandwa na hasira sana.

Lissu ni mtu ambaye alinyimwa kabisa Na Mungu hekima na busara.Ni mtu ambaye hafai kabisa kuongoza kundi lolote lile la watu wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ni mtu aliyejaa ukurupukaji,Mihemuko na Uropokaji. Simchukii kwa sababu nina chuki naye binafsi.bali ninamchukia kwa sababu tabia yake na mwenendo wake usiofaa kabisa kuigwa katika jamii.

Ni mtu ambaye utafikiri mdomo wake unamuwasha muda wote.au utafikiri ameweka moto mdomoni ambao unakuunguza muda wote na hivyo kumfanya ashindwe kufumba na kukaa kimya na hivyo kuanza kuzungumza muda wote hata asipostahili kuzungumza.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata angekuwa ananyamaza bado ungemchukia tu.Sasa akiongea anavyoongea wewe unababuka ngozi?Chuki hutafutiwa vijisababu uchwara tu.
 
Nialsikufiche mwanangu,Mi nasomaga hapa tu mwisho Mama anatosha baaasi…..
 
Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。

Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。

P
Sawa ila hawezi kuukata mbuyu peke yake atahitaji wasaidizi.
 
Umeona eeh ?

Nawaza sana yale madawa ya matibabu yake ni kama yalimletea effect kubwa.

But anyways ngoja tuone
 
Back
Top Bottom