Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。
Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。
P
Mtu yeyote mnafiki, chawa mla rushwa hata siku moja hawezi kumpenda Lissu, ni kwakuwa Lissu anamuabisha kwa kuweka tabia yake hadharani.