Pre GE2025 CHADEMA mnaogopa nini kumfukuza uanachama Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mtu yeyote mnafiki, chawa mla rushwa hata siku moja hawezi kumpenda Lissu, ni kwakuwa Lissu anamuabisha kwa kuweka tabia yake hadharani.
 
Mtu yeyote mnafiki, chawa mla rushwa hata siku moja hawezi kumpenda Lissu, ni kwakuwa Lissu anamuaibisha kwa kuweka tabia yake hadharani.
 
Acha kufuru zako mtoa posti ulikuwepo kwa Mwenyezi Mungu wakati huyo lisu akinyimwa hivyo ulivyovitaja ?
 
Moderators tafadhalini unganisheni nyuzi zooote za chawa wa Mbowe za kumshambulia Lissu ili wajikusanye huko wajadili wenyewe maana hazina jipya zaidi ya personal attacks tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…