Pre GE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.

Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.

ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu

AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
 
HAYATI MZEE KENYATTA aliwahi kugombana na Hayati Nyerere kwa kumwambia Nyerere anawatawala MAITI Hakika Watanganyika ni MAITI
 
Niliwai kusoma kitabu pahala kwamba demokrasia ya magharibi inafanya kazi kwa tija pale ambapo kuna raia wenye sifa kuu 2.
1. WELL INFORMED
2. KNOWLEDGEABLE
(nimekosa kiswahili cha haraka)
Tangu tutoke kwenye mfumo wa kichifu na Ukama, akili zetu hazikpata kuwa "compartible* na demokrasia.
Kiukweli hadi leo ilibidi watu wengine wasipige kura kuwepo na vigezo vya hapo juu!
La , wachache wenye nia njema na nchi waongoze kundi kubwa la wasio na sifa hizo.
Kwa bahati mbaya, hata hata wanaojitokeza kwa wokovu nao wanaogelea kwenye tope lile lile!
 
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.

Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.

ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu

AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
Kazi wanayofanya Chadema ni Devine Assignment
 
Umeongea pointi ukasahau kujua kuwa Tanzania Viongozi hawachaguliwi kwa Kura.

Wananchi walishaamua wanajua nani wa kumpigia kura na nani wa kumtupa.
 
Sasa kama tumekufa tunawezaje kuandamana. Hoja yako in fallacies tupu
 
Umeongea pointi ukasahau kujua kuwa Tanzania Viongozi hawachaguliwi kwa Kura.

Wananchi walishaamua wanajua nani wa kumpigia kura na nani wa kumtupa.
Humu tutaendelea kupiga stori za town lakin uhalisia ni kwamba kwa anayetaka kuitoa nchi mtaro huu afikirie yeye binafs au kikundi namna ya kutumia nguvu za sadaka! Uhai na kifo!
Mpaka sasa tuko kwenye usingizi wa pono na walio macho wamekaliwa mkao wa * I can't breath!*
Mihimili 3 yote (na ule wa 4 kasoro) kuunda ndoa ya mpaka kifo kiwatenganishe tayari ni pigo kubwa kwa utawala wa demokrasia!
 
Kufufuka kwa watanzania haiwezekani mpk Mungu akifute hiki kizazi chote cha maiti zinazotembea.
 
Niliwahi kusema hiki. Kuna kizazi itabidi kiondoke kwanza. Kije kingine landa mtazamo utabadilika otherwise bado ni kiza kinene
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.

Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.

ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu

AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE

Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.

Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.

ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu

AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
ni kazi ngumu unapo ipigia kelele jamii ambayo imezoea shida, yaani haijitambui. Hata siku wakikaa kimya nitaelewa, wao ni binadamu pia watachoka one day
 
Tumia lugha njema,

Kuandsmana ni jambo la hiari Si kulazimisha,inahitaji Elimu,ushawishi hamasa nk nk

So far, mambo yataenda vizuri, na wanaoandamana ni Watanzania,Si wakenya.
 
Niliwahi kusema hiki. Kuna kizazi itabidi kiondoke kwanza. Kije kingine landa mtazamo utabadilika otherwise bado ni kiza kinene
Hebu fikiria 2024 bado tuna kizazi kinachoweza kudanganyika kwa wali na kanga!
Bado tuna mpiga kura anayechagua kwa chama na si mgombea wala sera!
Hadi kiperish kizazi hicho collateral damage itakuwa ni kubwa mno!
Mbaya zaid kinakuja si kizazi cha kuweka mambo sawa bali mvurugano zaid.(from nothing comes nothing)
Tatizo si waliopo kwenye dhamana leo bali ni ubovu wa misingi ya jamii kwa ujumla! Hasa ubinafsi!
 
Wapinzani watoe hutuba zinazo ends kwenye moya na si kwenye kichwa Cha msikilizaji kama hatuba za Mtikila
Alfonce Mawazo nae alikua mwamba wa kuamsha bongo pia R.I.P
 
Back
Top Bottom