Pre GE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

Pre GE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.

Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.

ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu

AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
ELIMU DUNI NDO TATIZO
 
Back
Top Bottom