MWASHAMBA HALIJUI KUWA KESHO KUNA WATOTO NA WAJUKUU ZAKE WANAHITAJI MAISHA BORANdio uhalisia huko kama nchi imejaa wajinga kama akina Lucas Mwashambwa unategemea nini?
HAYATI MZEE KENYATTA aliwahi kugombana na Hayati Nyerere kwa kumwambia Nyerere anawatawala MAITI Hakika Watanganyika ni MAITIKazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.
ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu
AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
Kwa habari ya huyu Lucas uko sahihi kabsa!Ndio uhalisia huko kama nchi imejaa wajinga kama akina Lucas Mwashambwa unategemea nini?
Kazi wanayofanya Chadema ni Devine AssignmentKazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.
ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu
AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
Umeongea pointi ukasahau kujua kuwa Tanzania Viongozi hawachaguliwi kwa Kura.Niliwai kusoma kitabu pahala kwamba demokrasia ya magharibi inafanya kazi kwa tija pale ambapo kuna raia wenye sifa kuu 2.
1. WELL INFORMED
2. KNOWLEDGEABLE
(nimekosa kiswahili cha haraka)
Tangu tutoke kwenye mfumo wa kichifu na Ukama, akili zetu hazikpata kuwa "compartible* na demokrasia.
Kiukweli hadi leo ilibidi watu wengine wasipige kura kuwepo na vigezo vya hapo juu!
La , wachache wenye nia njema na nchi waongoze kundi kubwa la wasio na sifa hizo.
Kwa bahati mbaya, hata hata wanaojitokeza kwa wokovu nao wanaogelea kwenye tope lile lile!
Sasa kama tumekufa tunawezaje kuandamana. Hoja yako in fallacies tupuKazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.
ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu
AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
Humu tutaendelea kupiga stori za town lakin uhalisia ni kwamba kwa anayetaka kuitoa nchi mtaro huu afikirie yeye binafs au kikundi namna ya kutumia nguvu za sadaka! Uhai na kifo!Umeongea pointi ukasahau kujua kuwa Tanzania Viongozi hawachaguliwi kwa Kura.
Wananchi walishaamua wanajua nani wa kumpigia kura na nani wa kumtupa.
Niliwahi kusema hiki. Kuna kizazi itabidi kiondoke kwanza. Kije kingine landa mtazamo utabadilika otherwise bado ni kiza kineneKufufuka kwa watanzania haiwezekani mpk Mungu akifute hiki kizazi chote cha maiti zinazotembea.
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.
ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu
AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
ni kazi ngumu unapo ipigia kelele jamii ambayo imezoea shida, yaani haijitambui. Hata siku wakikaa kimya nitaelewa, wao ni binadamu pia watachoka one dayKazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji serikali/rais/waziri na wote kwa kila wanachokifanya na kukataa kama hakina tija kwao.
ANGALIA
1, Bima /afya/matibabu ni kifo
2. Kikokotoo ni kifo
3. Elimu ya watoto wetu ni kifo
4, Petrol (mafuta) ni kifo
5. Chakula/vyakula vyote bei ni kifo kikuuu
AJABU BADO TUMELALAL/TUMEKUFA MAITI BADO KUOZA.. TUANDAMANE
Hebu fikiria 2024 bado tuna kizazi kinachoweza kudanganyika kwa wali na kanga!Niliwahi kusema hiki. Kuna kizazi itabidi kiondoke kwanza. Kije kingine landa mtazamo utabadilika otherwise bado ni kiza kinene
Alfonce Mawazo nae alikua mwamba wa kuamsha bongo pia R.I.PWapinzani watoe hutuba zinazo ends kwenye moya na si kwenye kichwa Cha msikilizaji kama hatuba za Mtikila