God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Meku punguza makasiriko 😂🔥Kwani Mbowe ana tatizo au mapungufu gani? Awe Mwenyekiti nyumbani kwenu vile vile inafaa
Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Lissu akikaa hapo ndio mtajuta Mbowe ni kiongozi kamili!Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Ukiongea utumbo unatumbukiwa. Ccm nanyi mpeni nafasi Polepole awe Mwenyekiti wa CCMMeku punguza makasiriko 😂🔥
Nyerere ameongoza TANU 1954-1977, miaka 23, na baadaye CCM 1977-1990, miaka 13.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Amiri jeshi wa makamandoo wa kupasuliana matofali kichwani nani atashindwa?Dunia nzima haina Amiri Jeshi wa Hivyo
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Lissu akikaa hapo ndio mtajuta Mbowe ni kiongozi kamili!
Uzuri wa Demokrasia ya Mmarekani ni kuwa Viongozi wengi wanafuata siasa za Soviet.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Wanajeshi hawamuamini mtu hata kama ana tatoo, sembuseAmiri jeshi wa makamandoo wa kupasuliana matofali kichwani nani atashindwa?
Mtego huo ,,na lisu ategekiUnaweza kuwa na lengo zuri sana, lakini kwa Bahati Mbaya nafasi ya uenyekiti wa Chadema hawapewi watu kama Chipsi kavu, ni nafasi inayogombewa , Yaani wanaotaka hiyo nafasi Wanaonyesha nia yao wenyewe, wanachukua fomu na kuirejesha baada ya kutimiza masharti.
Sasa kusema Lissu apewe Uenyekiti na huku hajaonyesha hata hiyo nia ni sawa na kujipunja wewe Mwenyewe, Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kumshawishi Lissu mwenyewe aonyeshe nia, baada ya hapo mfanyie Kampeni ili awashinde wengine watakaogombea pamoja naye.