Pre GE2025 CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

Pre GE2025 CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa.
Mbowe akipumzika kina mmawia, Eryhcty na wengine wa aina hiyo watakula wapi?

Wewe unafikiri wenyewe wanamsujudia Mbowe kwa bure?
Wanavuta something ili kuhakikisha wanapambana na anaeleta mawazo ya mwenyekiti kupumzika.
 
Back
Top Bottom