ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa nini Lisu asiwe Mwenyekiti nccr Mageuzi alikokuwa?Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Kwanza chama kitavunjika maana atakuwa anawaona wote hamna akili ila yeye , Mwendazake style 🤣🤣