ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa nini Lisu asiwe Mwenyekiti nccr Mageuzi alikokuwa?Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Nimejaribu kufafanua lissu akipewa uenyekiti chama kinakufa asubuhi Mbowe ana hekima na busara!Hahaha
Nyie CHAWA wa Lumumba si huwa mnalia lia kuwa Mbowe amekaa sana kwenye nafasi hiyo, kumbe Lissu mnamuogopa zaidi?!!
Ajabu ni kuwa siku zote wanaolalamika kuchoshwa na Mbowe ni wana ccm tu. Pilipili anazokula mwingine wewe zinakuwasha vipi?
Wafuasi wa Sultan watakuja kutukana hapa tutashangaa,hawana hoja,sahivi wanapanga kummaliza kamanda mwenzao Lissu,Lissu kuwa makini Meya Jacob amepewa kazi kukumaliza kwa sumu.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Weeeeeh!!!!Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Mhhh Tena?Lissu namkubali. Ila kuna chance kubwa sana atakiingiza chama kwenye mgogoro. Ana kaukorofi na kakiburi fulani.
Hi nafasi ya Zitto na WangweMbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Haitatokea kwa sababu Lissu siyo Mchaga.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Mbowe aondoke aache maokoto yaloyomfanya ajenge jumba la kifahari ?Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa.
Lissu akiwa mwenyekiti mtakufa njaa, angalau Mbowe *anawaona ona" kidogoUnaweza kuwa na lengo zuri sana, lakini kwa Bahati Mbaya nafasi ya uenyekiti wa Chadema hawapewi watu kama Chipsi kavu, ni nafasi inayogombewa , Yaani wanaotaka hiyo nafasi Wanaonyesha nia yao wenyewe, wanachukua fomu na kuirejesha baada ya kutimiza masharti.
Sasa kusema Lissu apewe Uenyekiti na huku hajaonyesha hata hiyo nia ni sawa na kujipunja wewe Mwenyewe, Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kumshawishi Lissu mwenyewe aonyeshe nia, baada ya hapo mfanyie Kampeni ili awashinde wengine watakaogombea pamoja naye.
Ni kweli, ila ni Hawa wanajeshi walioko kwenye zama za kupasuliana matofali kichwani, na kubeba mizigi mazito mgongoni.Wanajeshi hawamuamini mtu hata kama ana tatoo, sembuse
Kwa hiyo kinachokukera ni Mbowe kuwa madarakani tu?Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Kwa sababu Lissu atazuia wasile chakula,siyo?Acha akili zinazohitaji kulikizwa/kulishwa kwa utegemezi na ziada.Lissu akiwa mwenyekiti mtakufa njaa, angalau Mbowe *anawaona ona" kidogo
Kipimo cha kiasi ni kipi?Misimamo iwe ya kiasi. Kila jambo kwa kiasi. Misimamo ikiwa mikali sana hekma hukosekana au hupungua.
NAMI nikuunge mkono sasa ni muda wa Mbowe kupumuzikaMbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Ukosawa ila swala la Uraisi lisu ndio tulufu ya mchezoUnaweza kuwa na lengo zuri sana, lakini kwa Bahati Mbaya nafasi ya uenyekiti wa Chadema hawapewi watu kama Chipsi kavu, ni nafasi inayogombewa , Yaani wanaotaka hiyo nafasi Wanaonyesha nia yao wenyewe, wanachukua fomu na kuirejesha baada ya kutimiza masharti.
Sasa kusema Lissu apewe Uenyekiti na huku hajaonyesha hata hiyo nia ni sawa na kujipunja wewe Mwenyewe, Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kumshawishi Lissu mwenyewe aonyeshe nia, baada ya hapo mfanyie Kampeni ili awashinde wengine watakaogombea pamoja naye.
Msitupangie.Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Lissu hana mchezo kabisa,ni mchumi kwelikweli hatoi pesa kizembe kwa machawa wakina ErythrocyteLissu akiwa mwenyekiti mtakufa njaa, angalau Mbowe *anawaona ona" kidogo
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
kwani hiyo nafasi ni ya kupewa au kugombea?????Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.