Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 May 10, 2024 #41 Tindo said: Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa. Click to expand... Mbowe akipumzika kina mmawia, Eryhcty na wengine wa aina hiyo watakula wapi? Wewe unafikiri wenyewe wanamsujudia Mbowe kwa bure? Wanavuta something ili kuhakikisha wanapambana na anaeleta mawazo ya mwenyekiti kupumzika.
Tindo said: Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa. Click to expand... Mbowe akipumzika kina mmawia, Eryhcty na wengine wa aina hiyo watakula wapi? Wewe unafikiri wenyewe wanamsujudia Mbowe kwa bure? Wanavuta something ili kuhakikisha wanapambana na anaeleta mawazo ya mwenyekiti kupumzika.