CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji

CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM

Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na CCM zamu yao ya kupigwa chini inakuja uchaguzi mkuu Oktoba

Msikalie tu kuchekelea meno yote nje wembe wa kuwanyoa ulishaandaliwa uchaguzi mkuu wa Oktoba kuhakiksha hakuna mbunge CHADEMA anakanyaga bungeni
 
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji

CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM

Hao wenu Waliobaki huko watakoshindana na CCM zamu yao ya kupigwa chini inakuja uchaguzi mkuu Oktoba

Msikalie tu kuchekelea meno yote nje wembe wa kuwanyoa ulishaandaliwa uchaguzi mkuu wa oktoba kuhakiksha hakuna mbunge Chadema anakanyaga bungeni
Punguza jazba alafu kunywa maji kwanza.
 
Hahahahahaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lijualipole katisha vibaya sana!!
 
Kwani unaosema wanachekelea un uhakika gani kama ni chadema?. Ushawahi kuziona kadi zao za uanachama au ndo ileile bila kuitaja cdm watu hamuoni raha
 
Unaishi kwa kukariri tu. Kwa hiyo cdm ndiyo chama pekee cha upinzani.Humu tupo wengi na si wote ni wafuasi wa vyama.Zaidi kwa uchaguzi huru na wa haki hao pia hawawezi kutoboa wasahau kabisa.
 
Back
Top Bottom