Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wengine walikopwa ndo ntolee hio.Keshasahau waliomkata sio hata wapiga kura, ni hao CCM waliolazimika kuwapokea kama wanachama wapya. Jamaa kachanganyikiwa, analaumu jamvi kwa kufurahia mikato. Amesahau hata mantiki ya furaha ya watu kuwa ni “jamaa waliunga juhudi za mwenyekiti, lakini wanachama wamekataa huo uungaji mkono ambao wanaifurahia sasa waliuona kama usaliti na biashara”.
Naanza kuamini wakataji wana “wamekula za kutosha” akilini mwao wakati wa ukataji. Kuna miamala ilifanyika kwa watu hawa kuunga juhudi!
Hawa wahamiaji walidanganywa eti upinzani utakufa hivo wakawahi mapema kumbe wao ndo wanaenda kufa.
Mtu Kama Nassari, lijuakali ,katambi walishajitengenezea cv na image nzuri kabisa kwenye Jamii wakakubali kuonyeshwa karanga.Wameharibu cv zao walizozijenga miaka.CV yako ndio mtaji wako ndio maisha yako.
Hivi walishindwa vipi kujifunza yaliyomkuta lipumba ccm sio watu chek walivomtenda mbatia akasusa hata kwenda dodoma