CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

Hivi ni kweli kuwa kuumia kwa mguu kwa mwenyekiti ndio ubongo nao umeumia,mbona hatumsikii mwenyekiti wa chama na mipango yake mbadala.
Pamoja na uoga wa upinzani kuripot habari lakini ACT tumewaona.cheyo ombi lake tumelielewa,mrema ni muda mrefu ,lipumba nae pia.
CHADEMA ndani ya hili joto la uchaguzi mkuu tuone na ninyi mkipasha pasha.
Nyarandu pekee na nahisi anatumia mapesa yake mfukoni.
 
"Vifaa vya kuwanyolea vilishaandaliwa"

Hapa unamaanisha mshaandaa mbinu zenu namna ya kuwaibia kura.

Wekeni uchaguzi uwe wa huru na haki afu mje mjitape hapa
 
"Vifaa vya kuwanyolea vilishaandaliwa"

Hapa unamaanisha mshaandaa mbinu zenu namna ya kuwaibia kura.

Wekeni uchaguzi uwe wa huru na haki afu mje mjitape hapa
Mkuu unatamani hata kwenye Uchaguzi Mkuu napo kura zihesabiwe kwa uwazi kama kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM?
 
Wako wanachekelea utafikiri wao wameshashinda uchaguzi!!! Hata mimi nawashangaa kuwa vipi hawa?
Wao hawakusaliti chama kwasababu ya njaa na kutukana watu lakini.

Najua akili yenu yote mmeielekeza kwenye mbinu za kuwaibia.

Utawezaje kujisifu umpiganaji bora Lakin unamfunga kamba mshindani wako?
 
Hivi ni kweli kuwa kuumia kwa mguu kwa mwenyekiti ndio ubongo nao umeumia,mbona hatumsikii mwenyekiti wa chama na mipango yake mbadala.
Pamoja na uoga wa upinzani kuripot habari lakini ACT tumewaona.cheyo ombi lake tumelielewa,mrema ni muda mrefu ,lipumba nae pia.
CHADEMA ndani ya hili joto la uchaguzi mkuu tuone na ninyi mkipasha pasha.
Nyarandu pekee na nahisi anatumia mapesa yake mfukoni.
Umeshalewa chibuku basi akili inamuwaza Mbowe tu.
 
Yes. Sihesabiwe kwa uwazi na haki. Ili tushuhudie mapenzi ya watanzania ndani ya box la kura
Bahati mbaya hata kamera hazitaruhusiwa kwenye vyumba vya kuhesabia kura. Sheria ya kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kuhesabia itasimamiwa vilivyo na mabomu ya machozi na hata risasi za moto
 
Ni hiviiiiii kule wslikoenda walionunuliwa na hii Ni jeuri tu kuwatukana wanaccm. Tangu lini mtumwa akatawsla utumwani
 
Bahati mbaya hata kamera hazitaruhusiwa kwenye vyumba vya kuhesabia kura. Sheria ya kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kuhesabia itasimamiwa vilivyo na mabomu ya machozi na hata risasi za moto
Vyama vina mawakala hamuwaamini mawakala wa vyama vyenu? 2015 mlisingizia kura mumeibiwa mkiambiwa onyesheni kituo kipi cha kura mumeibiwa hamuonyeshi

Mkiulizwa hizo kura mnazosema mliibiwa mawakala wenu walikuwapo au hawakuwapo mnanyamaza kimya

Wakala ndie mlinda kura za chama na huwemo ndani ya chumba cha kuhesabu kura yeye ni zaidi ya camera sababu anashika hadi kura zenyewe.
 
. Sheria ya kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kuhesabia itasimamiwa vilivyo na mabomu
Hiyo sheria ya mita 200 kusimama ni ya uchaguzi ziko sheria zingine ambazo lazima uzitii mfano kuna sheria inayohusu mikusanyiko lazima upate kibali cha kukusanyika polisi hata kama uko zaidi ya hizo mita 200.Kwa hiyo ukitaka kukusanyika unatakiwa upate kibali cha polisi vinginevyo kitakachokukuta usipige yowe

Sheria ya pili ni sheria ya Ardhi hapo unapokusanyika hata kama ni zaidi ya mita hizo mia 200 je ni ardhi yako au ya mama yako? kjama sio yako umepata kibali cha mwenye ardhi yake ukusanyike kwenye ardhi yake? kama hajakupa kibali kupitia serikali ya mtaa ana haki yeye au viongozi wa serikali ya mtaa kuita FFU waje na mabomu na virungu kukutwanga kwa kosa la kuvamia ardhi ya mtu bila kibali chake

Ukimaliza kupiga kura kalale kwenu waachie mawakala wa chama chako kuangalia zoezi la kupiga kura usije pata ulemavu bure ukasema sikukuambia
 
Kwani unaosema wanachekelea un uhakika gani kama ni chadema?. Ushawahi kuziona kadi zao za uanachama au ndo ileile bila kuitaja cdm watu hamuoni raha

Keshasahau waliomkata sio hata wapiga kura, ni hao CCM waliolazimika kuwapokea kama wanachama wapya. Jamaa kachanganyikiwa, analaumu jamvi kwa kufurahia mikato. Amesahau hata mantiki ya furaha ya watu kuwa ni “jamaa waliunga juhudi za mwenyekiti, lakini wanachama wamekataa huo uungaji mkono ambao wanaifurahia sasa waliuona kama usaliti na biashara”.

Naanza kuamini wakataji wana “wamekula za kutosha” akilini mwao wakati wa ukataji. Kuna miamala ilifanyika kwa watu hawa kuunga juhudi!
 
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji

CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM

Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na CCM zamu yao ya kupigwa chini inakuja uchaguzi mkuu Oktoba

Msikalie tu kuchekelea meno yote nje wembe wa kuwanyoa ulishaandaliwa uchaguzi mkuu wa Oktoba kuhakiksha hakuna mbunge CHADEMA anakanyaga bungeni
Unachotegemea hakitakuwepo safari hii mkuu kisha agiza kura zote zinahesabiwa hadharani
 
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji

CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM

Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na CCM zamu yao ya kupigwa chini inakuja uchaguzi mkuu Oktoba

Msikalie tu kuchekelea meno yote nje wembe wa kuwanyoa ulishaandaliwa uchaguzi mkuu wa Oktoba kuhakiksha hakuna mbunge CHADEMA anakanyaga bungeni

Kama watashindwa kihaki kura zikihesabiwa kiuwazi sio tatizo
 
Back
Top Bottom