CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

Wapiga kura ndo majaji!
 
Msigwa, heche, mdee, lema, nenda twitter za hao watu uone wanavyochekelea kukatwa hao watu kura za maoni! Labda useme hao sio chadema
Wako wanachekelea utafikiri wao wameshashinda uchaguzi!!! Hata mimi nawashangaa kuwa vipi hawa?
 
Pande zote mbili zimefurahi. Maana kule walikoenda wanaitwa wakimbizi walioiba nafasi za uteuzi za wenyeji. Kifo cha aibu na fedheha kuu ugenini, Katibu mkuu mstaafu kajizolea kura 2!
 
Hata sisi NCCR mageuzi tunachekelea pia ..

"Ni bora ufe na mawazo yanayoishi kuliko kuishi na mawazo yaliyokufa".Cheguavara huyo.

Tafakariiii
 
Msigwa, heche, mdee, lema, nenda twitter za hao watu uone wanavyochekelea kukatwa hao watu kura za maoni! Labda useme hao sio chadema
Kwani kuna ubaya gani wao kucheka? Ni kawaida tu mtu anapoondoka kwa mbwembwe na majigambo anaposhindwa watu hucheka. Na siyo hao wanachama wa CHADEMA peke yao wanaocheka,wapo wengi tu.
 
Anakuja jumatatu game litageuka hujapata kufikiria wala kuota ndotoni.
Kifupi mtatafutana kama alivyotafutana Bashite kule ng'ambo ya bahari

Msigwa, heche, mdee, lema, nenda twitter za hao watu uone wanavyochekelea kukatwa hao watu kura za maoni! Labda useme hao sio chadema
Labda ni kama ile kanuni ya fizikia kwamba 'action and reaction are equal and opposite'.
 
Kigamboni theorem states as follows:

Makonda is directly proportional to JPM,
i.e Makonda = k*JPM
with k = 1

thus, Makonda = JPM.

we know that JPM = CCM
(this is because JPM makes all the decisions for CCM no matter what other party members say or want!)

therefore,
Makonda = JPM = CCM

it has already been proven @ Kigamboni that...
Makonda = 34.76% successful.

we therefore can conclusively deduce the following arithmetical equilibrium:

Makonda = JPM = CCM = 34.76%.

this is a mathematically-based verdict for October 2020:

34.76% is the projected election score for CCM in the October general elections for all 3 candidacies.....i.e presidential, parliament & ward contestants.
 
Wako wanachekelea utafikiri wao wameshashinda uchaguzi!!! Hata mimi nawashangaa kuwa vipi hawa?
Hata mimi nakushangaa kwanini unawashangaa najiuliza huyu vipi anashindwaje kujua kwanini wanashangilia
 
Uchaguzi ukiwa wa wazi, ukiwa huru na haki, rushwa isiwepo aliyeshinda atangazwe kama alivyoshinda na aliyeshindwa atangazwe kuwa ameshindwa kama ambavyo mumejitahidi kufanya ndani ya CCM na mitaani nako mjitahidi kufanya hivyohivyo, CCM mjiandae kisaikolojia kutolewa na mbereko uwanjani.
 
Hao waliohamia ccm walihamia kwa ahadi ya mbeleko, ila wametemwa kinyume na makubaliano. Cdm kama chama hawana tatizo na kushindwa kwa kura halali, maana hawahitaji mbeleko bali wanatatizo na mshindi kutangazwa kwa amri ya Magufuli.
 
Wawakate tu walioshinda kura za maoni then wawaweke hawa wazamiaji...ili watandikwe tena mara ya pili. Dawa ya wasaliti ni mboko tu..,
Kwa hili wafia chama kuleni tano...!! Mmetufurahisha watanzania.

Wale hizo hizo zinawatosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…