CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

Wengine walikopwa ndo ntolee hio.
Hawa wahamiaji walidanganywa eti upinzani utakufa hivo wakawahi mapema kumbe wao ndo wanaenda kufa.
Mtu Kama Nassari, lijuakali ,katambi walishajitengenezea cv na image nzuri kabisa kwenye Jamii wakakubali kuonyeshwa karanga.Wameharibu cv zao walizozijenga miaka.CV yako ndio mtaji wako ndio maisha yako.
Hivi walishindwa vipi kujifunza yaliyomkuta lipumba ccm sio watu chek walivomtenda mbatia akasusa hata kwenda dodoma
 
Usitufokee
 
Hili ni funzo next time awataunga tena juhudi waliopo wataogopa yatawakuta yaliyowakuta wenzao.
 
Wala sio Chadema tu wanaocheka ni Watanzania Wote Wanaochukia Umalaya wa Siasa na Usaliti Wamelipwa Walichostahiri.
 
Unachotegemea hakitakuwepo safari hii mkuu kisha agiza kura zote zinahesabiwa hadharani
Hii sidhani kama anaweza thubutu, na akiagiza hivi hakika atakuwa kwa mara ya kwanza ameonesha dhamira ya 'kulikomboa' taifa kupitia sanduku la kura maana hata yeye hatatoboa urais.
 
Acha wasaliti waipate vilivyo. Pia ccm wengi hawajui kwanini wanaishabikia ccm.
 
Kwani kuna ubaya gani wao kucheka? Ni kawaida tu mtu anapoondoka kwa mbwembwe na majigambo anaposhindwa watu hucheka. Na siyo hao wanachama wa CHADEMA peke yao wanaocheka,wapo wengi tu.

Hata mimi nimecheka. Wengine hatuna vyama.walipochaguliwa walichaguliwa hata na sisi ambao hatuna vyama. Hivyo walipojitoa walitusaliti sisi wapiga kura. Dhambi ya usaliti inawatafuna. naendelea kucheka.
 
It is corect true if other things will not remain constant i.e tume ya uchaguzi na policcm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitaka walie

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…