Uongozi ni kipaji si kila mtu anaweza kuwa kiongozi anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini asiwe kiongozi mzuri.
Sisemi chama kisifanye uchaguzi au kiengue wagombea hapana, bali wajumbe wawe makini watakapokuwa wanafanya maamuzi siku ya uchaguzi.
Kiongozi huandaliwa hajiandai, lazima kiongozi awe na maono ya kile anachoenda kukiongoza, hakurupuki, ndani ya miezi miwili keshabadili mawazo kutoka kugombea cheo hiki kwenda kile.
Katangaza atagombea Urais, juzi katangaza atawania uMakamu Mwenyekiti, jana katangaza atagombea cheo cha Mwenyekiti, huyu ni kiongozi kweli?
Kiongozi lazima awe predictable, Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na kiongozi ambaye hatujui kesho atasema nini".
Soma Pia: Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa
Nawasihi sana wajumbe wa Mkutano Mkuu na wapiga kura, nyie ndio mtakaoamua hatima ya chama chenu, msicheze kamari kwenye uenyekiti wa chama, chezeeni vyeo vingine lakini si uenyekiti wa chama Taifa.