CHADEMA msicheze Upatu kwenye Uenyekiti wa chama mtakuja kujuta

CHADEMA msicheze Upatu kwenye Uenyekiti wa chama mtakuja kujuta

Mbowe hajafanya makosa labda useme katiba ndiyo imefanya makosa kwa kutoweka kikomo kwenye uongozi.

Kura zitasema kama kajiandaa au hajajiandaa msije kukimbia uwanja baada ya matokeo.

Hana ubavu wa kumshinda Lissu. Labda Abdul anisaidie.
 
Lissu kaikuta Chadema akitokea NCCR.

Mbona unapingana na Mbowe?. Yeye kasema walikuwa wanawavuta Viongozi kutoka vyama vingine. Na Mbowe alidhani Lissu ni CHADEMA, ndipo akashtuka na kumuomba aje CHADEMA
 
mgombea alietangaza nia kapoa mno na amejawa baridi mno..

ameukosa umakamu uenyekiti kirahisi mno na anakosa fursa na nafasi ya kugombea urais kupitia chadema kirahisi sana.

dah!
siasa inahitaji hekima na busara mno kwenye kupanga na kuamua.

ukiamua vibaya siasa nayo inakufanya vibaya 🐒
Duh! Kweli ataukosa uenyekiti na umakamu.
 
Back
Top Bottom