- Thread starter
- #21
Leteni ushahidi wa pesa chafu.Ushahidi tosha kwamba huyo mtu wenu hafai kukiongoza chama. Pesa chafu ya abdul haiwezi kuamua hatma ya chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni ushahidi wa pesa chafu.Ushahidi tosha kwamba huyo mtu wenu hafai kukiongoza chama. Pesa chafu ya abdul haiwezi kuamua hatma ya chama.
Mwambie mbowe aende mahakamani kwa kuchafuliwa.Leteni ushahidi wa pesa chafu.
Kama hamtajali matokeo ya uchaguzi huo utakuwa uhuni kama uhuni mwingine kitu ambacho hakikubaliki.Kwa taarifa yako hakuna anayejali matokeo halali. Sisi ni wataka mabadiliko, hivyo hatuna tatizo lolote na mchakato au matokea ya uchaguzi halali.
Yeye hana shida anayelalamika ndio aende mahakamani.Mwambie mbowe aende mahakamani kwa kuchafuliwa.
Chadema haiwezi kufa Kwa sababu ni Chama Cha SerikaliChadema ingekuwa imekufa wakati huu ungekuwa unajadili UDP ya Cheyo au NCCR ya Lissu.
Kwa hli ilivyo hiki Chama kujiweka juu ya taifa ni heri kife tu, maana kumbe hakina tofauti na CCM ambayo imepelekea waliopo serikalini watumikie zaidi Chama kuliko nchimUongozi ni kipaji si kila mtu anaweza kuwa kiongozi anaweza kuwa mtendaji mzuri na asiwe kiongozi mzuri.
Sisemi chama kisifanye uchaguzi au kiengue wagombea hapana, bali wajumbe wawe makini watakapokuwa wanafanya maamuzi siku ya uchaguzi.
Kiongozi huandaliwa hajiandai, lazima kiongozi awe na maono ya kile anachoenda kukiongoza, hakurupuki, ndani ya miezi miwili keshabadili mawazo kutoka kugombea cheo hiki kwenda kile.
Kiongozi lazima awe predictable, Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na kiongozi ambaye hatujui kesho atasema nini".
Soma Pia: Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa
Nawasihi sana wajumbe wa Mkutano Mkuu na wapiga kura, nyie ndio mtakaoamua hatima ya chama chenu, msicheze kamari kwenye uenyekiti wa chama, chezeeni vyeo vingine lakini si uenyekiti wa chama Taifa.
Hivi vyama ni vya hiyari kama unaona Chadema ni chama cha serikali na hakiwezi kukufikisha kwenye malengo yako so why ung'ang'anie kubaki kwenye hicho chama.Chadema haiwezi kufa Kwa sababu ni Chama Cha Serikali
Chadema ni Sawa na UVCCM
Sidhani kama utaelewa 😂🔥
Kwanini unataka Chadema kife na sio vyama vingine zaidi ya 20 vife, kwani vyenyewe vinatimiza malengo yako.Kwa hli ilivyo hiki Chama kujiweka juu ya taifa ni heri kife tu, maana kumbe hakina tofauti na CCM ambayo imepelekea waliopo serikalini watumikie zaidi Chama kuliko nchim
Watu wanaothubutu kusema urais is nothing compared na Uenyekiti wa Chama...??? Na kwamba urais huwa hawaupi u-serious?
Chadema inaendeshwa Kwa Kodi za Watanzania maskiniHivi vyama ni vya hiyari kama unaona Chadema ni chama cha serikali na hakiwezi kukufikisha kwenye malengo yako so why ung'ang'anie kubaki kwenye hicho chama.
Watu huwa wanawachukulia CHADEMA very serious na wanajitoa hasa. Leo wanaibuka watu ndani ya CHADEMA wanatoa kauli zinazoonyesh yale malalamiko ya wagombea kukatwa , kuibiwa kura, kuvurugwa kwa uchaguzi na huwa si za kweli kwa sababu wao wanajua kushinda hawaweziKwanini unataka Chadema kife na sio vyama vingine zaidi ya 20 vife, kwani vyenyewe vinatimiza malengo yako.
Mambo yepi yawekwe hadharani kasome ripoti ya CAG kila kitu kinachohusu ruzuku kipo mle, au unataka Chadema wakichangishana hata michango ya sendoff waweke hadharani.Chadema inaendeshwa Kwa Kodi za Watanzania maskini
Ndio sababu Wananchi wote Kwa sasa Wanataka Mambo ya chadema yawekwe hadharani
Huu ni ukweli uliomchungu wasiotaka kusikia watawala wetu.....Kiongozi mzuri hakai madarakani zaidi ya miaka 20 bila kutengeneza succesion plan. Amefanya makosa sana huyo unayedhani ni kiongozi mzuri hadi mabadiliko yamemkuta akiwa hajajiandaa. Alikuwa na muda wa kutosha sana kufanya mabadiliko lakini akataka kufia madarkani. Kama kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi, basi subirini uchaguzi ufanyike.
Na akimtayarisha mtu wa kumrithi mtasema kuwa anataka kuleta utawala wa kiimla. Kiongozi makini anawapa wanachama wenzake uwezo wa kujichagulia kiongozi ambae wao wanaona anafaa sio kujipendekeza kwake kwa kuchagua mtu ambae yeye anamtaka. Kama kuna mtu anamtaka ataweza kumfanyia kampeni lakini bila kulazimisha.Kiongozi mzuri hakai madarakani zaidi ya miaka 20 bila kutengeneza succesion plan. Amefanya makosa sana huyo unayedhani ni kiongozi mzuri hadi mabadiliko yamemkuta akiwa hajajiandaa. Alikuwa na muda wa kutosha sana kufanya mabadiliko lakini akataka kufia madarkani. Kama kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi, basi subirini uchaguzi ufanyike.
Mkuu umeliweka vizuri, akiwekwa na Mbowe watasema chama cha ukoo, msimamo wangu wote waingie kwenye sanduku la kura atakayeshindwa avunje kambi wawe kitu kimoja.Na akimtayarisha mtu wa kumrithi mtasema kuwa anataka kuleta utawala wa kiimla. Kiongozi makini anawapa wanachama wenzake uwezo wa kujichagulia kiongozi ambae wao wanaona anafaa sio kujipendekeza kwake kwa kuchagua mtu ambae yeye anamtaka. Kama kuna mtu anamtaka ataweza kumfanyia kampeni lakini bila kulazimisha.
Amandla...
Naoina umenichukua nje ya muktadha, naamanisha hatutajali matokeo halali ya atakayeshinda au kushindwa. Kiufupi tutaheshimu matokeo yoyote halali, zingatia neno halali.Kama hamtajali matokeo ya uchaguzi huo utakuwa uhuni kama uhuni mwingine kitu ambacho hakikubaliki.