- Thread starter
- #41
Kama tunataka uchaguzi uwe wazi na mshindi halali aungwe mkono kwanini basi tulazimishe fulani kachoka aondoke na fulani aingie?Naoina umenichukua nje ya muktadha, naamanisha hatutajali matokeo halali ya atakayeshinda au kushindwa. Kiufupi tutaheshimu matokeo yoyote halali, zingatia neno halali.