CHADEMA msicheze Upatu kwenye Uenyekiti wa chama mtakuja kujuta

Naoina umenichukua nje ya muktadha, naamanisha hatutajali matokeo halali ya atakayeshinda au kushindwa. Kiufupi tutaheshimu matokeo yoyote halali, zingatia neno halali.
Kama tunataka uchaguzi uwe wazi na mshindi halali aungwe mkono kwanini basi tulazimishe fulani kachoka aondoke na fulani aingie?
 
Reactions: Tui
Sidhani kama succesion plan ni jukumu la mwenyekiti, nadhani ni utaratibu wa kichama kupata mrithi sahihi, na sio anayetakiwa na kiongozi.
 
Sidhani kama succesion plan ni jukumu la mwenyekiti, nadhani ni utaratibu wa kichama kupata mrithi sahihi, na sio anayetakiwa na kiongozi.
Na kiongozi anapatikana through ballot box na si kwa mihemko.
 
Kama tunataka uchaguzi uwe wazi na mshindi halali aungwe mkono kwanini basi tulazimishe fulani kachoka aondoke na fulani aingie?
Kuchoka ni mtazamo wangu, ila sina popote ninapokataa yeye kugombea. Usichanganye matamanio yangu na utaratibu. Sina tatizo la utaratibu kufuatwa, ndio maana nasisitiza uchaguzi halali bila kujali nani mgombea.
 
Hoja yako ni ipi hapa boss? Ni wapi nakataa mshindi kupatikana kwa njia halali ya kura?
Nilikuwa nakumbusha tu tufanye kampeni ya bila kuacha makovu, atakayechaguliwa tumuunge mkono tusiwe kama Msigwa.
 
Hamna jema nyie
 
Hamna jema nyie
ni muhimu sana kushudia demokrasia, faida za utulivu, mipango mikakati na mahesabu kwenye siasa, na athari au mathara ya kukurupuka, makelele na mdomo bila maono.

kumbuka mtaka vyote kwa pupa, hukosa vyote πŸ’
 
Sielewi hebu dadavua kwa faida ya wengi mkuu.
Unaandaa mazingira ya taasisi kuendelea kuwepo hata wewe usipokuwepo. Unatoa mafunzo na uzoefu hata kukaimisha kwa muda. Waandaliwa wanapitia kwenye moto kama kufaulu kwenye mafunzo mengine makubwa kama shaolin , samurai alexander the great au Budha. Sio kutengeneza chawa ambao ni ndio mzee.
 
ni muhimu sana kushudia demokrasia, faida za utulivu, mipango mikakati na mahesabu kwenye siasa, na athari au mathara ya kukurupuka, makelele na mdomo bila maono.

kumbuka mtaka vyote kwa pupa, hukosa vyote πŸ’
Bwana weeh wacha wenye taasisi yao waone kwa namna wanavyoona wao. Walimpa form maana yake wameridhia atapiga kampeni halafu uchaguzi nao najua mtaleta maneno awe ameshinda yeye au Mbowe mtasema tuπŸ˜€
Tuache mambo yaende
 
WACHAGA ACHENI HILAAA.SASA MNATAKA MBOWE AZIDI KUKALIA HIKO CHEO HADI LINI??MIAKA 21 HIVI SASA BADO YUPO TUH KWANI CHAMA CHA FAMILIA HIKO??
 
WACHAGA ACHENI HILAAA.SASA MNATAKA MBOWE AZIDI KUKALIA HIKO CHEO HADI LINI??MIAKA 21 HIVI SASA BADO YUPO TUH KWANI CHAMA CHA FAMILIA HIKO??
Huu ujinga wa kikabila ndio unaowavurugia wapambe wa Lisu.Kwani kwa kuwa Mwenyekiti miaka 21, Mbowe amevunja katiba ya Chama?Mkianza hoja za ukabila akigombea tena Mwenyekiti Mbowe hamshindi na hilo mnalijua ndio sababu mnashinikiza asigombee.
Mgombea wenu hamtaki ashinde kwa kura?Sasa kama hamumuamini kelele za nini?
 
Chama bado kitakuwa kwenye mikono salama
 
Lissu hakawii kukimbilia ubeleji akawaacha watu kwenye mataa! Anahamasisha wenzie waandamane na kuwaona kina Mbowe wamepoa inhaling yeye alipomaliza tu uchaguzi akakimbia nchi!!

Alikimbia wapi? Kwa Hali ile ya Magufuli ulitaka abaki wamuuue?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…