Mbowe hajafanya makosa labda useme katiba ndiyo imefanya makosa kwa kutoweka kikomo kwenye uongozi.
Kura zitasema kama kajiandaa au hajajiandaa msije kukimbia uwanja baada ya matokeo.
Uchaguzi ni kujiandaa ni pamoja na pesa, kama huwezi ku mobilize kupata pesa ya uchaguzi utaweza vipi kuendesha chama.
Lissu kaikuta Chadema akitokea NCCR.
Leteni ushahidi wa pesa chafu.
Duh! Kweli ataukosa uenyekiti na umakamu.mgombea alietangaza nia kapoa mno na amejawa baridi mno..
ameukosa umakamu uenyekiti kirahisi mno na anakosa fursa na nafasi ya kugombea urais kupitia chadema kirahisi sana.
dah!
siasa inahitaji hekima na busara mno kwenye kupanga na kuamua.
ukiamua vibaya siasa nayo inakufanya vibaya π
tamaa kitu mbaya sana aise πDuh! Kweli ataukosa uenyekiti na umakamu.
Si kasema mwenye ushahidi ni marehemu, ππππMuulize wenje