Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu.
Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi?
Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi?
Maridhiano yenu na kulamba asali yanahusika vipi na ubunge wa akina Halima?
Mahakama ni chombo huru. Someni ibara ya I07A(1) ya katiba ya JMT.