Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ati mahakama iko huru, nani kakushawishi hivyo?Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu...
Huyu aliyeandika hii kitu anazo Avatar zaidi ya moja, ni bwana yule.Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu...
Na wakihama chadema tunawapeleka ACT wazalendo na Mbowe anastaafu mwezi ujao tunazika chademaHalima mdee na wezako chapeni kazi umewashika kwenye uvungu wa mapaja shikilia hapo hapo hapo kolodani
Sijui akina Kibatala wamemtaja Rais mahakamaniTatizo unaropoka sana na akili hazikutoshi....
Kwani ni lazima wawe CHADEMA wakija CCM hawezi kuchapa kazi?Halima mdee na wezako chapeni kazi umewashika kwenye uvungu wa mapaja shikilia hapo hapo hapo kolodani
Kwa hiyo mahakama inaingiliwa!!?Unataka iingiliwe mara ngapi?