Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo.
Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala tusipkee rambirambi zao pamoja na salama za pole kutoka kwa hawa watu.. Wanatukejeli.
CHADEMA, mnapaswa kutambua hawa watu wanatuona kama wanyama na ndio maana hawajali uhai wetu wala maisha yetu.
Msiruhusu wafike msibani na manguo yao wala msiwape mike waseme lolote. Wanakuja kutuhadhaa tu huku robo zao zinafurahia walichokifanya.
Hali iwe ni hii hii kwa misiba ya wahanga wote wa uchaguzi huu wa kihuni .
INapendekeza Kamati Kuu ya CHADEMA inayokaa leo ije na tamko rasmi kuhusu ushiriki wa hawa watu kwenye misiba ya wanachama na viongozi wa CHADEMA yenye sura ya kisiasa.
Enough is enough.
Nawasilisha.