CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

Ni message kwa waliobaki na waliotenda kosa hilo.
hiyo sio meseji hiyo ni chuki, uchochezi na ubaguzi kwenye jambo la huzuni.

huenda maagizo hayo yamechochewa na kilevi 🐒
 
Hata kusalimiana na kupiga picha inaenda kuwa ngumu.

Wahafidhina ndani ya CDM wanaona si kitu cha kufumbiwa macho tena.

Wapo wanaoamini 'siasa ni uadui' na ukiwasikiliza ni kama wana hoja

Mtu "anaeuwa" watoto wako unamchekea na kupiga nae picha kwel?

Na tulisema toka mwanzo CCM inahalalisha radical politics bila kujua... Na kwa sasa makundi sogoz ya Wasup, CH, Telegram na X ni mwendo wa kukosoa siasa za mrengo wa kati wa uongoz wa Mbowe..

Mbowe anaonekana Irrelevant kutokana na mwenendo wa siasa za sasa...

Ikitokea watu aina ya Lissu, Mdude, Heche, wanapewa Chama tutarajie siasa za CUF ya Maalim kabla ya GNU..

Hatari kubwa mbele yetu.
Duh mnataka kumpa chama kamanda mdude? 😂😂
 
Tangu mchakato wa uchaguzi huu uanze hadi kupiga kura na kutangazwa matokeo nimemua kuwa kila mwanaccm ni adui yangu hata angekuwa ndugu wa damu sitashirikiana naye kwa lolote, kwangu mimi mwanaccm ni sawa na nyoka ni haki yangu kumponda kichwa kabla hajagusa kisigino changu.
 
Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo.

Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala tusipkee rambirambi zao pamoja na salama za pole kutoka kwa hawa watu.. Wanatukejeli.

CHADEMA, mnapaswa kutambua hawa watu wanatuona kama wanyama na ndio maana hawajali uhai wetu wala maisha yetu.

Msiruhusu wafike msibani na manguo yao wala msiwape mike waseme lolote. Wanakuja kutuhadhaa tu huku robo zao zinafurahia walichokifanya.

Hali iwe ni hii hii kwa misiba ya wahanga wote wa uchaguzi huu wa kihuni .

INapendekeza Kamati Kuu ya CHADEMA inayokaa leo ije na tamko rasmi kuhusu ushiriki wa hawa watu kwenye misiba ya wanachama na viongozi wa CHADEMA yenye sura ya kisiasa.

Enough is enough.

Nawasilisha.
Mwanaccm atakayekuja mazikoni naye afukiwe pamoja na marehemu.
 
Tangu mchakato wa uchaguzi huu uanze hadi kupiga kura na kutangazwa matokeo nimemua kuwa kila mwanaccm ni adui yangu hata angekuwa ndugu wa damu sitashirikiana naye kwa lolote, kwangu mimi mwanaccm ni sawa na nyoka ni haki yangu kumponda kichwa kabla hajagusa kisigino changu.
Sio ma-CCM tu, mimi hata Polisi nimewachukia sana na kamwe sitokuwa na urafiki na Polisi yeyote yule. Nimewachukia sana.
 
Uko sahihi kabisa polisi hawa ni kundi moja na hawa hayawani wa kijani, popote inapopatikana nafasi ya kuwafanyizia lazima wafanyiziwe.
 
Relax madam, I'm very sorry to say,

kuchochea fujo, chuki na uhasama msibani ni nonsense 🐒
Hivi huoni kwa miaka CCM mmekuwa mkipandikiza chuki kwa kudhulumu, kupindisha Mambo , kubaka Haku za raia, kuwaibia na kuwaonesha kuwa wao si kitu Hadi unapofika wakati wakunadi ujinga wenu nyakati za chaguzi.
 
CHADEMA iimarishe kikundi chake cha red brigade kipewe maelekezo wakiua nacho kijue kinamchukua nani! Pumbavu kabisa!
 
Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo.

Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala tusipkee rambirambi zao pamoja na salama za pole kutoka kwa hawa watu.. Wanatukejeli.

CHADEMA, mnapaswa kutambua hawa watu wanatuona kama wanyama na ndio maana hawajali uhai wetu wala maisha yetu.

Msiruhusu wafike msibani na manguo yao wala msiwape mike waseme lolote. Wanakuja kutuhadhaa tu huku robo zao zinafurahia walichokifanya.

Hali iwe ni hii hii kwa misiba ya wahanga wote wa uchaguzi huu wa kihuni .

INapendekeza Kamati Kuu ya CHADEMA inayokaa leo ije na tamko rasmi kuhusu ushiriki wa hawa watu kwenye misiba ya wanachama na viongozi wa CHADEMA yenye sura ya kisiasa.

Enough is enough.

Nawasilisha.
Chadema ninayoijua sio hii hawa ni walamba asali
 
Back
Top Bottom