CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

Ni message kwa waliobaki na waliotenda kosa hilo.
hiyo sio meseji hiyo ni chuki, uchochezi na ubaguzi kwenye jambo la huzuni.

huenda maagizo hayo yamechochewa na kilevi πŸ’
 
Duh mnataka kumpa chama kamanda mdude? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naunga mkomo hoja iwe kama CUF ya Zanzibar kipindi cha Seif walikuwa hawazikani.
Wewe baba yako akiwa CCM huwezi mzika Mbowe akitoa hayo maagizo?

Kweli mmechanganyikiwa πŸ˜‚
 
Tangu mchakato wa uchaguzi huu uanze hadi kupiga kura na kutangazwa matokeo nimemua kuwa kila mwanaccm ni adui yangu hata angekuwa ndugu wa damu sitashirikiana naye kwa lolote, kwangu mimi mwanaccm ni sawa na nyoka ni haki yangu kumponda kichwa kabla hajagusa kisigino changu.
 
Mwanaccm atakayekuja mazikoni naye afukiwe pamoja na marehemu.
 
Sio ma-CCM tu, mimi hata Polisi nimewachukia sana na kamwe sitokuwa na urafiki na Polisi yeyote yule. Nimewachukia sana.
 
Sio ma-CCM tu, mimi hata Polisi nimewachukia sana na kamwe sitokuwa na urafiki na Polisi yeyote yule. Nimewachukia sana.
Uko sahihi kabisa polisi hawa ni kundi moja na hawa hayawani wa kijani, popote inapopatikana nafasi ya kuwafanyizia lazima wafanyiziwe.
 
Relax madam, I'm very sorry to say,

kuchochea fujo, chuki na uhasama msibani ni nonsense πŸ’
Hivi huoni kwa miaka CCM mmekuwa mkipandikiza chuki kwa kudhulumu, kupindisha Mambo , kubaka Haku za raia, kuwaibia na kuwaonesha kuwa wao si kitu Hadi unapofika wakati wakunadi ujinga wenu nyakati za chaguzi.
 
CHADEMA iimarishe kikundi chake cha red brigade kipewe maelekezo wakiua nacho kijue kinamchukua nani! Pumbavu kabisa!
 
Chadema ninayoijua sio hii hawa ni walamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…