CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

Ko tuanze vita dhidi ya uhuru wa habari? Heheheherhe kweli chadema genge la wahuni same to ccm tu

Dawa ni umoja part
 
Halo gazeti huku kwetu limekosa soko mpaka bodaboda wanalichambia
 
Definitely, kazi kubwa ya kudai katiba mpya wanayofanya kwenye mikutano yote, wapuuzi hawa wameona hili ndilo la maana? washenzi wakubwa

Your wishes
Let it be granted
 
Mkuu sipingi angalizo lao, lakini kulingana na uhuru wa vyombo vya habari huwezi kuwazuia kuandika wanachotaka. Ni juu ya CDM kusimamia wanachoamini. Hata hivyo wananchi wengi sio wasomaji wa magazeti. Na wanaosoma wanaweza kuelewa malengo ya kinachosemwa.

Kwangu mimi kama ni kweli Lisu na Mbowe wanapishana tena hadharani, hiyo ndio afya kwa CDM kwani kwanza ndio demokrasia, na ni rahisi sisi Wafuasi kujua yupi ni kiongozi sahihi kwa chama. Haya mambo ya viongozi kukubaliana kila kitu, ndio ilipelekea Lowassa kupokelewa ndani ya CDM bila kupima madhara ya jambo lile.
Sahihi
 
Back
Top Bottom