Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MAKONDA ana jimbo lipi? Kolomije ?
POLEPOLE ana jimbo lipi?
DOTO BITEKO mgombe mwenza na mama , hana jimbo.
Kassim Majaliwa atagombea urais na kutupwa nje.
Khasim Majaliwa atagombea Urais kwa Chama gani?
 
Mikataba ni jambo la kawaida sana katika Dunia ya Sasa
Yeah , ni ushamba wetu tu, aliingia mikataba 1884 kuuza bara la afrika kwa wazungu,m Mangungo wa Msovera akaingia tena mkataba wa kuuza mkoa mzzima na huko Usagara na sas ahivi tunaingia tena mikataba, hakuna jipya wapinzani ndio shida kila mkataba wao wanapinga tu.
 
Yeah , ni ushamba wetu tu, aliingia mikataba 1884 kuuza bara la afrika kwa wazungu,m Mangungo wa Msovera akaingia tena mkataba wa kuuza mkoa mzzima na huko Usagara na sas ahivi tunaingia tena mikataba, hakuna jipya wapinzani ndio shida kila mkataba wao wanapinga tu.
Sasa bila mikataba mtafanyaje kazi,
 
Natamani niwashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa vyenye nguvu nchini ilikujenga Bunge lenye checks & balance.

Ili kutekeleza hilo lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao walipokuwa Bungeni ( win win situation )

CHADEMA.
====
CHADEMA ninyi nawashauri msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo 25 kwani mtapoteza rasilimali zenu kiduchu mnazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.

1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Moses Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Jimbo la Hamis Kigwangala

CCM
====
Nashauri pia Chama Cha Mapinduzi CCM vivyo hivyo msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kuyapoteza ni mkubwa lakini pia watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa nchi na demokrasina muhimu zaidi ustawi wa hoja kinzani bungeni 2025-2030.


1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
22. Jimbo la Joseph Haule


Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​
Ona ng'ombe hii
 
Sasa umesema CDM wasiweke mgombea kwenye jimbo la Tulia!!!
Then unasema CCM wasiweke mgombea jimbo la Sugu!! Hapo huoni umetuchangana logic yako!?
 
Back
Top Bottom