Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda anataka agombee Jimbo gani? Harafu Kwa hulka yake hawezi pita na pia atapotea kwenye siasa maana anaweza asipate Wizara atasikika wapi Kwa utaratibu wake?
Ila mkuu Jamaa anatisha kwa sasa sijui wajumbe nao ni "Mbwa", 😂😂
 
Tisho kwako ila sii kwa raia wenye kujua tamu na chungu ya maisha ya kila siku,nyie mboga saba kwa urefu wa kamba mtuache na kazi yetu tuachie wenyewe🤣
Mtamchomoa akiwa ndani ya CCM au nje ya CCM?
 
Ila mkuu Jamaa anatisha kwa sasa sijui wajumbe nao ni "Mbwa", 😂😂
Watu maskini na wasio na uelewa ndio wanapenda siasa za Makonda ila wajumbe hawataki huo upuuzi ndio maana walikula kichwa Kigamboni.

Japo huenda safari hii akafaulu Kwa sababu Ndungulile anaweza chaguliwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika na Jimbo litabaki wazi so Makonda alikuwa wa pili last time huenda akashida.

Swali alishindwa na asipate Uwaziri siasa zake zitakuwa zimepoteza rasmi 😂😂
 
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.

19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge

Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​
Yaani takataka haondiowapite bila kupingwa
 
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.

21. Jimbo la Catherine Ruge

Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa sijui unagawa majimbo Ili iweje?
 
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.

CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.

1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala

Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.

1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge

Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​

Umekosea ulitakiwa useme kuwa kama hakuna Katiba mpya kabla ya 2025 CCM na Chadema wasiweke wagombea popote .

Kama Katiba mpya ni 2026 basi uchaguzi uwe 2027.

January Hakubaliki bila wizi wa Kura na kunyanganya Fomu na kununua wagombea. Hakubaliki hata ndani ya CCM kwenye Jimbo lake.

Zungu hawezi kushinda Tena.

Doto Biteko alibebwa na Mbeleko hawezi kushinda .
Hakuna msukuma Chawa.

Hakuna Msukuma anayefurahi kuona Ardhi inauzwa kwa wageni na wenyeji wanafukuzwa kama wavamizi wakati utajiri wa wasukuma ni mifugo.

Kifupi Biteko hana uchingu na Tanganyika zaidi ya kuwa Kuwadi na mtangulizi wa Wavamizi wa rasilimali na ardhi ya Tanganyika.

Biteko hana tofauti na Wale waliokua wamewatangulia wakoloni na kuwawekea mazingira mazuri ya kuingia Afrika kirahisi.

Biteko amewekwa kuwapumbaza wasukuma bila kujua kuwa Wasukuma miaka yote wanapinga Ufisadi na kuporwa madini yao na ardhi yao ya kufuga ikiwemo ardhi ya Wamasai mana wakiwamaliza wamasai watakaofuata ni wao kifukuzwa kila mahali na mifugo yao.

Tulia ni wakala wa kuanganiza kizazi cha watanganyika kwa ajili ya wageni . Wanaofuatilia matukio ya mawakala wa shetani ulimwenguni watanielewa.
Lakini pia hana ubavu wa kumwangusha Sugu kamwe.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa sijui unagawa majimbo Ili iweje?
Katika orodha yake unaweza kushangaa ni mmoja wapo🤔
 
Umekosea ulitakiwa useme kuwa kama hakuna Katiba mpya kabla ya 2025 CCM na Chadema wasiweke wagombea popote .

Kama Katiba mpya ni 2026 basi uchaguzi uwe 2027.

January Hakubaliki bila wizi wa Kura na kunyanganya Fomu na kununua wagombea. Hakubaliki hata ndani ya CCM kwenye Jimbo lake.

Zungu hawezi kushinda Tena.

Doto Biteko alibebwa na Mbeleko hawezi kushinda .
Hakuna msukuma Chawa.

Hakuna Msukuma anayefurahi kuona Ardhi inauzwa kwa wageni na wenyeji wanafukuzwa kama wavamizi wakati utajiri wa wasukuma ni mifugo.

Kifupi Biteko hana uchingu na Tanganyika zaidi ya kuwa Kuwadi na mtangulizi wa Wavamizi wa rasilimali na ardhi ya Tanganyika.

Biteko hana tofauti na Wale waliokua wamewatangulia wakoloni na kuwawekea mazingira mazuri ya kuingia Afrika kirahisi.

Biteko amewekwa kuwapumbaza wasukuma bila kujua kuwa Wasukuma miaka yote wanapinga Ufisadi na kuporwa madini yao na ardhi yao ya kufuga ikiwemo ardhi ya Wamasai mana wakiwamaliza wamasai watakaofuata ni wao kifukuzwa kila mahali na mifugo yao.

Tulia ni wakala wa kuanganiza kizazi cha watanganyika kwa ajili ya wageni . Wanaofuatilia matukio ya mawakala wa shetani ulimwenguni watanielewa.
Lakini pia hana ubavu wa kumwangusha Sugu kamwe.
Unamaanisha Uchaguzi usifanyike mpaka 2026?
 
Unamaanisha Uchaguzi usifanyike mpaka 2026?
Kuendelea na Uchaguzi bila katiba mpya ni aina fulani la kuhalalisha uhalifu na wahalifu kutawala na kujitungia sheria za kuhalalisha uhalifu wao kwa kodi ya Watu wema..

Ni kupoteza fedha za umma kwa sababu watu wale wale ndio watakaorudi madarakani.
Mh. Samia atarudi na wabunge karibu wote wa CCM watarudi kichawa chawa . Mbaya zaidi Chawa wataongezeka kwa kodi za watanganyika .
Mbaya zaidi kabisa watu makini kama Mpina ,Ndugai n.k watakatwa na kuongeza machawa bungeni.
Utakua uchahuzi mbovu zaidi na utazidi kulitia hadara taifa
 
Demokrasia ni uhuru wa kushindana kimawzo, kihoja, kutafuta kura, nk. Mwenye kisu kikali ndiye anakata pande la nyama, acha ushindani ufanye kazi yake.
 
Kuendelea na Uchaguzi bila katiba mpya ni aina fulani la kuhalalisha uhalifu na wahalifu kutawala na kujitungia sheria za kuhalalisha uhalifu wao kwa kodi ya Watu wema..

Ni kupoteza fedha za umma kwa sababu watu wale wale ndio watakaorudi madarakani.
Mh. Samia atarudi na wabunge karibu wote wa CCM watarudi kichawa chawa . Mbaya zaidi Chawa wataongezeka kwa kodi za watanganyika .
Mbaya zaidi kabisa watu makini kama Mpina ,Ndugai n.k watakatwa na kuongeza machawa bungeni.
Utakua uchahuzi mbovu zaidi na utazidi kulitia hadara taifa
Katiba mpya ni kuelekea 2030
 
Sikujua kama Makonda ana jimbo au ataenda kugombea!
Kama Tume ingekuwa huru mbona kwenye majimbo hayo CDM ikisimamisha Wagombea wanapeta tu?
 
Katiba mpya ni kuelekea 2030
huko huku kuelekea.
Watanganyika wasikubali huu mfumo wa Chama Kimoja na chama kushika hatamu . Huu mfumo wa Chama dola uliwasumbua sana maadui wa nje wakiwemo wale Waliopinduliwa kule Zanzibarna na kurudi kwao Oman na wengine kukimbilia Ulaya.

Baada ya Azimio la Zanzibar hakuna tena chama kushika hatamu bali mwenekiti wa Chamab kushika Hatamu kwa Rushwa na misaada kutoka huko huko kwa Wakoloni tuliowapokonya nchi kwa damu za kina mkwawa. lililoazimia kurudisha Usultani na kuwakabidhi nchi ya Tanganyika na kuanzia kwa kuwauzia Eneo la Loliondo na wanyama waliopo kwa karne nzima na sasa kasi ya kumaliza kila kitu kwa kuwapa watu wenye ELIMU NA UWEZO KAMA SISI. Wananunua Teknolojia kama sisi . Wananunua ndege kama sisi ,wananunua magari na Computer kama sisi ,wananunua madawa kama sisi. Walichotushinda ni kitu kimoja wanawanunua Watawala na kuwapa pesa za kuhongo kwenye uchaguzi.

Kwa nini tutumie pesa na kodi za wananchi kuingia kwenye uchaguzi uliokwisha kununua washindi na hakuna kura zitakazo hesabiwa na kutoa ushindi kwa aliyechaguliwa ?

Kwa nini tuendelee kupoteza maisha ya watu watakaojitokeza kupinga dhulma wakati walitakiwa wapinge uchaguzi kufanyika chini ya Tume ya Iliyopatikana kutokana na katiba iliyogeuzwa kuwashughulikia wapinzani wa kisiasa badala ya mabeberu na wanyonyaji wankiuchumi toka nje?

CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi lakini sasa kimegeuka kuwa chama cha mafisadi na machawa kwa manufaa ya wageni .

Kongo ilianza hivi hivi kuwafutahia marajiri toka ufaransa ,ubelgiji na marekani walipokuwa wanamwaga mapesa kwa Mabuto na serikali yake kuwa ya kula bata Ufaransa na kwenye mahoteli makubwa huku machawa wake wakiwa wanajiona wapo peponi . Mabeberu wakaigawa nchi kwa kutumia pesa zao.

Leo tunaiona safari ya Kuelekea kule kule Kongo ikifanywa na hawa watawala halafu hatushtuki kutokana na misaada na maslahi ya wachache na machawa wakila bata huko Dubai na marafiki zao wa nje. Wageni wanazidi kujiimarisha kiuchumi kwa kudhibiti vyanzo vikubwa vya mapato kama Bandari , Viwanja vya ndege,misitu ,ardhi ,madini ,wanyama n.k. Wanajiingiza kwa misaada ya kuwaimarisha mqwakala wao kwenye siasa na dini pia ili watanganyika enye kuona mbali watakapo wakataa waingize itikadi za kidini kuwa wanakatalowa kwa sababu ni wa dini fulani .

Kuna siri kubwa sana zinazofanywa na wafanyabiashara wa kubwa wa kimataifa bila kujali haki na ustawi wa watu maskini katika nchi zao za asili.
Ndio maama hawa mawakala wao wanakusanya mali nyingi sana kwa muda mfupi na kujiweka kwenye kiwango cha mattajiri wa dunia kwa haraka.

Tukiwa na katiba hii ya kimungu hata akishinda Tundu Lisu ambaye kiuhakika atamshinda kwa mbali sana Mgombea wa CCM endapo wataamua kulinda kura kwa jasho na damu ,jambo ambalo hatulitaki na ndio maana tunasema uchaguzi usifanyike bila katiba mpya ,bado akiingia madarakani atanogewa na madaraka makubwa na fursa za kujineemeha na marafiki zake na ndugu zake na pia kuwakaribisha Waneligiji waliomsaidia kuokoa maisha yake . Bado tutarudi kule kule kwenye utawala wa kihuni wa CCM wa kuuza nchi kwa Wageni.
 
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.

CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.

1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala

Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.

1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge

Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​
MAKONDA ana jimbo lipi? Kolomije ?
POLEPOLE ana jimbo lipi?
DOTO BITEKO mgombe mwenza na mama , hana jimbo.
Kassim Majaliwa atagombea urais na kutupwa nje.
 
Watu maskini na wasio na uelewa ndio wanapenda siasa za Makonda ila wajumbe hawataki huo upuuzi ndio maana walikula kichwa Kigamboni.

Japo huenda safari hii akafaulu Kwa sababu Ndungulile anaweza chaguliwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika na Jimbo litabaki wazi so Makonda alikuwa wa pili last time huenda akashida.

Swali alishindwa na asipate Uwaziri siasa zake zitakuwa zimepoteza rasmi 😂😂
Yote heri hata hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom