Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.